Thursday, May 25, 2017

ALLAH AKIRI KUWA WAKRISTO NI WATU WAPOLE, LAKINI MUHAMMAD NI MTU KATILI NA MTENDA MAOVU

Image may contain: one or more people, cloud and text
Allah naye anawathibitishia waislamu kuwa wakristo ni wapole.

Thibitisha katika sura ya 57:27 Surat Al-hadyd Twasoma:-
“Kisha tukawafuatisha nyuma yao mitume wetu na tukamfuatisha Issa bin Mariam na tukampa Injili na tukaweka upole na rehema katika nyoyo za wale waliomfuata.
Wakristo Allah anasema ni wapole sana.
Upole wao nataka ujue kuwa si kwa sababu Allah amesema bali ni vema ujue kuwa wamefudishwa na Yesu mwenyewe kuenenda kama kondoo kati ya mbwa mwitu.
Tena tukafundishwa upole na upendo. BWANA Yesu alitufundisha haya kwa kinywa cha mtume Paulo.
Tunasoma katika Rumi 12:17-21 maneno haya: “Msimlipe mtu ovu kwa ovu. Angalieni yaliyo mema machoni pa watu wote. Wapenzi, msilipize kisasi bali ipisheni ghadhabu ya Mungu maana imeandikwa kisasi ni juu yangu mimi. Mimi nitalipa asema BWANA. Lakini adui yako akiwa na njaa mlishe, akiwa na kiu mnyweshe maana ufanyapo hivyo utampalia
makaa ya moto kichwani pake. Usishindwe na ubaya,bali uushinde ubaya kwa wema.
Lakini pia katika Mathayo 5:44 Bwana anatuhimiza maneno haya: “Lakini mimi nawaambia, wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi ili mpate kuwa wana wa baba
yenu aliye mbinguni. Kwa mafundisho haya ya kiroho wakristo wakazingatia ndiyo maana ni vigumu kusikia eti wakristo wameandamana na kutia fujo, kisamakanisa
yamechomwa moto. Tena hutasikia hata mara moja kwamba wakristo wameandamana kisa eti tunalaani vurugu, dhidi ya wakristo, Misri,Iraq,Saud Arabia au Somalia.
Tumefundishwa na Bwana Yesu tusisumbuke kwa jambo lolote ila kwa kufunga na kuomba.
Nikisema kweli utasikia waislamu, sijui niseme wasiosoma dini yao wanakasirika. Je hakuna mwislamu yeyote asiyejua kuwa
Muhammad hakuwapenda adui zake hata mara moja? Kama hujui kwa nini unakasirika ninapofanya ujue? Na kama wewe unajuakwanini uchukie ninapokusaidia kuwajulisha
waislamu wenzako wajue?
Basi nataka ujue Muhammad uwezi kabisa kumfananisha na Yesu katika upole, upendo, uvumilivu na kadhalika. Maana hiyo
ndiyo hali ya Mungu. Lakini Muhammad Nabii wa Allah alikuwa na kisasi kibaya mno.
Katika sahihi muslimu vol III hadithi no 106 na sahihi Bukhari vol V hadithi no 400 zote kwa pamoja zimeelezea jinsi Muhammad alivyomuua kwa mikono yake mtu aliyemvunja jino hilo Uhud.
Kitabu al TAbakat al – kabir, sahihi al-Bukhary na mizanu al hagg Tunayaona majina kadhaa wa kadha ya watu ambao Muhammad aliwatuma wafuasi wake ili awaue.
Miongoni mwao ni ka’l lbn Ashrafu salam Ibn Abi’l hugaig (AbuRAfi). Sufiani Ibn Khalid al- hadhali. Wagid Ibn Abdallah ali
– Tamim.
Wengine ni AbuAfak,mzee wakiyahudi aliyekuwana umri wa miaka 120. Asma binti Marwan, mke wa Yazid bin Zayd ambaye alikuwa mtumzi mzuri wa mashahiri. Majina mengine yawatu aliowaua Muhammad yanapatikana katika Surat Rasul allah.
Mauaji makubwa kabisa aliyoyafanya kwa mkono wake ni ya wayahudi 800 wa jamiiyaQurayza ambao walipangwa kwenye mstari na kuchinjwa mmoja baada ya mwingine na kutupwa kwenye shimo kubwa lililochimbwa karibu na soko la Madina. Kazi hiyo iliendelea mpaka usiku wa manane.
Sababu za kuuawa kwao Ukweli bila kuficha hazikuwa na msingi wowote. Kwa mfano ka’b Ibnul Ashrafa aliuawa kwa kosa la kuwasifia wanawake wa kiislamu kwa umaridadi wao. Mzee Abu’Afak na Asma binti Mawan waliuawa kwa kuandika maneno yaliyompinga Muhammad.
Amri alizotoa Muhammad za mauaji hazikuwa na haki. Kwa mfano katika sahihi muslamu vol iv hadithi no 2771 inaelezea jinsiMuhammad alivyomshukuru mtu mmoja kwamba anajamiana na mtumwa wake.
Muhammad aliamuru Ali bin Talib amuue mtu huyo. Kwa bahati tu alipokaribia Allai kumpiga upanga aligundua kuwa yule mtu ni towashi.
Umm Qirfa- Bi kizee wa miaka 100 aliuawa kwa kuchanwa vipande viwili, baada ya miguu yake kufungwa kwakama mbili tofauti ambazo zilifungwa kwa ngamia wawili tofauti walioswagwa kuelekea pande mbili tofauti.
MUHAMMAD ASHEREKEA KUKATWA VICHWA WATU.
Katika kitabu cha kitab al tabakat al-kabir imeelezwa kuwa siku moja Muhammad alipoletewa vichwa vya watu wawili waliokatwa vichwa kwa kuchinjwa alifanya sherehe kubwa hapana mfano wake.
Huyo ndiye Muhammad mtukufu wa daraja na kipenzi cha waislamu.
Na jambo lile lile linaendelezwa mpaka leo. Muislamu akiamua leo kuuacha uislamu na kuingia katika ukristo matamshi ya waislamu wengi katika midomo utasikia achinjwe huyo. Kisa kwa sababu ameuacha uislamu na kuwa mkristo. Baadhi ya watu wameona kwa macho yao katika nchi mbalimbali zile ambazo wanaamini uislamu walivyowaadhibu watu kwa kuchinjwa.
Somaria kule mkristo hana nafasi ya kuwa huru ukijulikana unatangaza ukristo maisha yako yatakuwa na mashaka.
Kuchinja mwanadamu mwenzio! Ukumbuke damu ya mtu hyo inalalama inamlialia Mungu je utapona ndugu yangu? Maana hiyo unafanya kazi ya Shetani.
Damu ya haberi ilimlilia Mungu na Mungu alimuuliza kaini utadhani kama alikuwa hajui. Tunasoma katika Mw. 4:9-11 Twasoma: “BWANA akamwambia Kaini yuko wapi Haberi ndugu yako? Akasema sijui mimi ni mlianzi wa ndugu yangu? Akasema umefanya nini? Sauti ya damu ya ndugu yako inanililia kutoka katika aridhi. Basi sasa umelaaniwa wewe katika ardhi iliyofumbua kinywa chake ipokee damu ya ndugu yako kwa mkono wako.
Mungu anasema kila amuuaye mwanadamu mwanzake amelaaniwa. Maana baada ya Yesu kuja hakuna nafasi yeyote ya mwanadamu kumuua mwanadamu mwenzako. Kazi ya kuua ni ya Shetani.
Katika Yoh 8:44 Yesu anasema mkiua ninyi ni wa Baba yenu Ibilisi. Kwa nini Yesu aseme hivyo? Yesu anajibu anasema. Yeye alikuwa muuaji tangu mwanzo wala hakusimama katika kweli. Kwa hiyo Shetani ni muuaji.
Katika sahihi Bukhary hadithi No 731 uk 219 na mishkat al- maswabih vol ya I hadithi no 2 uk 3. Aisha mke wa nabii wa
Allah, alimsikia Muhammad anasema nimetokewa na kiumbe mfano wa mwanadamu, mavazi yake yalikuwa meupe sana umezidi weupe wa kawaida. Na nywele zake zilikuwa nyeusi zimezidi weusi wa kaiwada akanionesha funguo za dunia hii akaniambia niakupa funguo hizi ukianguka na kunisujudia. Nami nikiwa katika maono nikaanguka nikamsujudia.
Mtume wa Allah anakiri katika hadithi hii kwamba alikusudia kiumbe ambacho ni mfano wa mwanadamu. Lakini kwa bahati mbaya hata kukifahamu kwa jina hakukifahamu ila alikisujudia kwa sababu aliambiwa angepewa funguo za duniani.
Maneno haya ya Muhammad yanafanana sana na maneno ya Bwana Yesu aliyoambiwa na Shetani wakati alipofunga siku arobaini (40). Katika mlango huu wa Mathayo 4: 8-11 twasoma: “ Kisha Ibilisi (Shetani) akamchukua mpaka mlima mrefu mno, akamuonesha milki zote za ulimwengu na fahali zake. Akamwambia haya yote nitakupa ukianguka na kunisudia.
Ndipo Yesu akamwambia nenda zako Shetani kwa maana imeandikwa msujudie Bwana Munguwako umwabudu yeye peke yake. Kisha ibilisi (Shetani) akamuacha.
Ndiyo maana kila mara nawaambia waislamu,mnachelewa, kukaa na kuumbeza ukristo tu wakati ninyi wenyewe. Imani
yenu ina utata mkubwa. Na ndiyo sababu kubwa inayonifanya nisiache kuwafundisha waislamu lakini pia kuwahimiza wasome kur’an yao pamoja na hadithi za Muhammad ili kupata ukweli wa imani atimaye upate nafasi ya kuingia mbinguni.
Shetani aliyemdanganya Yesu kuwa nitakupa milki yote ya dunia hakupata nafasi ya kusujudiwa na Bwana Yesu kwa sababu alimtambua kuwa huyu ni Shetani. Lakini alipokwenda kwa Muhammad na kwa sababu Muhammad hakumtambua akakubali kuanguka na kumsujudia,akampa funguo za dunia.
Muhammad akaipenda dunia. Alioa wake 11 na wengine waliojitoa wenyewe kwa mtume wa Allah Idadi yake haikusimuliwa.
Hii ni tofauti na mafundisho aliyotufundisha sisi Bwana wetu Yesu Kristo.
Katika IYoh 2:15-16 tunasoma haya:
“Msiipende dunia, wala mambo yaliyomo katika dunia. Mtu akiipenda dunia, kumpenda Baba hakumo ndani yake. Maana kilakilichomo duniani yaani tamaa ya mwili na tamaa ya macho na kiburi cha uzima havitokani na Baba bali vyatokana na dunia. Je kila muislamu analijua hili? Ndiyo maana nimesema njia pekee ya kuwafanya watu kufika peponi ni ukristo tu wala si uislamu. Katika ukristo ndiko kuliko na usalama war oho za wanadamu. Je unayajua mateso yaliyompata Muhammad baada ya kukisujudia kile kiumbe?
Basi fuatana nami wiki ijayo.
Itaendelea

No comments:

JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD "

 JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD " Author: Dr. Maxwell Shimba  Jesus Declares, “I am the Alap and the Tau” – Under...

TRENDING NOW