BWANA YESU ANASEMA;
Yohana 22:7
Na tazama, naja upesi; heri yeye ayashikaye maneno ya unabii wa kitabu hiki.
Na tazama, naja upesi; heri yeye ayashikaye maneno ya unabii wa kitabu hiki.
Ufunuo 22:12
Tazama, naja upesi, na ujira wangu u pamoja nami, kumlipa kila mtu kama kazi yake ilivyo.
Tazama, naja upesi, na ujira wangu u pamoja nami, kumlipa kila mtu kama kazi yake ilivyo.
NJOO SASA, YESU ANAKUSUBIRI.
Yohana 6:37
"Wote anipao Baba watakuja kwangu; wala ye yote ajaye kwangu sitamtupa nje kamwe."
Yohana 6:37
"Wote anipao Baba watakuja kwangu; wala ye yote ajaye kwangu sitamtupa nje kamwe."
Mpendwa,
Yesu Kristo anasema hivi: Yu karibu sana kurudi na kulichukua Kanisa lake. Kumbuka Yesu haji kuchukua dini au watu wa dini, bali anakuja kulichukua Kanisa lake alilo linunua kwa damu yake.
Je, wewe ni mmoja wapo wa walio kombolewa kwa Damu ya Yesu?
Au wewe ni mmoja ya wale wanao enda Kanisani kama desturi lakini bado haujakombolewa?
Hili si jambo la mzaha. Chukua hatua sasa na mpokee Yesu aliye kufa kwa ajili ya maisha yako.
Kama bado haujaokoka, sema hii sala haraka sana.
"BWANA YESU NINAKUJA KWAKO MIMI NI MWENYE DHAMBI NINAOMBA UNISAMEHE NA KUNIOKOA. KARIBU KWENYE MAISHA YANGU NA MOYO WANGU,UNISAMEHE MAOVU YANGU YOTE, UNIOSHE NA KUNITAKASA. KUANZIA SASA MIMI NI WAKO. NINAKUSHUKURU KWA KUWA ULIKUFA MSALABANI KWA AJILI YA DHAMBI ZANGU NA KWA KUNIPOKEA.SASA NIMEOKOKA.MIMI NI MWANA WA MUNGU, Amen"
Shalom,
Max Shimba Mtumwa wa Yesu Kristo.
No comments:
Post a Comment