Ndugu msomaji,
HUU NI MSIBA MKUBWA SANA.
Kwanza naanza kwa kuleta aya kutoka kwa Yesu Mungu muumba wa Mbingu na Nchi.
Yehova anasema wazi katika Isaya 41 aya ya 21: Haya, leteni maneno yenu, asema BWANA, TOENI HOJA ZENU ZENYE NGUVU, asema Mfalme wa Yakobo. (Isaya 41:21).
Yaani panga hoja zako ZENYE NGUVU, Mfalme wa kweli atakujibu. Anajiamini.
Na zaidi ya kujiamini, Yesu ndie Jibu la kila kitu. Soma Yohana 16 aya ya 6 na 1 Timothy 2:5–6
Yesu ni Mungu Mkuu na yupo tayari kukujibu wakati wowote ule.
SASA TUMSOME NA YULE ALLAH WA WAISLAM KWA KUTUMIA VITABU VYAKE.
UTHIBITISHO:
Quran sura 5:101 anasema: Enyi mlio amini! MSIULIZE mambo ambayo mkidhihirishiwa yatakuchukizeni.

HAPA NDIO MSIBA UNAANZA:
Hivi huyu Allah anaogopa nini kuulizwa maswali? Kwanza kwa nini uwe na mambo yachukizayo?

Eti, Allah anamambo ambayo, akiyadhihirisha, yatachukiza,,Khaa, hivi haya ni mambo gani ambayo Allah anaogopa kuwaambia Waislam. Labda ni ile siri ya kuingia JEHANNAM kwa Waislam wote. http://www.maxshimbaministries.org/…/allah-anasema-katika-k…
TULIPO MSOMA NABII WAKE MUHAMMAD, NAYEYE VILE VILE ANAOGOPA MASWALI.
UTHIBITISHO:
Katika Sahih Bukhari Vol 2, Bk 23, No. 555 tunasoma:
Kwa hiyo Al−Mughira aliandika: Nilimsikia Nabii wa Allah akisema, " Allah anawachukia mambo matatu, .... MOJAWAPO NI KUULIZA MASWALI MENGI.

Ngoja niiweke kwa Kiingereza .......I heard the Prophet saying, "Allah has hated for you three things: … And asking too many questions
………………..
Na katika Sahih Bukhari Vol 3, Bk 42, No. 609 tunasoma Bedui mmoja alienda kwa mtume akawa anamwuliza maswali kibao juu ya kupata tena vitu vilivyopotea. Hatimaye aliuliza kuhusu ngamia. Hapo tunaambiwa:

On that the face of the Prophet became red (with anger) and said, "You have nothing to do with it, as it has its feet, its water reserve and can reach places of water and drink, and eat trees."
………………..
Yaani: Hapo uso wa mtume uligeuka mwekundu kwa hasira na kusema, “Hakuhusu, maana ana miguu yake, akiba yake ya maji na anaweza kufikia sehemu zenye maji na kunywa na kula miti.”
………………..
Huyo ndio Allah na nabii wake, yaani Muhammad. Muhammad anapandwa hasira kubwa kubwa, kisa, kaulizwa maswali yalio enda shule, na kushindwa vibaya sana kuyajibu, mpaka anageuka rangi na kuwa mwekundu.

Hivi,
1. Kwanini Mungu wa Biblia yaani Yehova, yeye haogopi kuulizwa maswali?
2. Kwanini Allah wa Quran yeye anapanda hasira anapo ulizwa maswali?
3. Kwanini Muhammad alipandwa na hasira kali alipo ulizwa maswali?

HAKUNA KAMA YESU.
HAKUNA KAMA YESU.
**** Imenukuliwa kutoka kwa Jimmy John****
Imeratibiwa na Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.
No comments:
Post a Comment