Tuesday, March 14, 2017

KATIKA YESU, KILA KITU KILIUMBWA

Image may contain: text, outdoor and nature
Wakolosai 1:16
Kwa kuwa KATIKA YEYE VITU VYOTE VILIUMBWA, vilivyo mbinguni na vilivyo juu ya nchi, vinavyoonekana na visivyoonekana; ikiwa ni vitu vya enzi, au usultani, au enzi, au mamlaka; vitu vyote viliumbwa kwa njia yake, na kwa ajili yake.
Katika Yesu vitu vyote viliumbwa. Ina maana kuwa vitu vyote vilitokana na Yesu; maana Yesu ni Neno la Mungu. Na tunajua kuwa Muumba wa vitu vyote ni Mungu; hivyo, Yesu ni Muumba – Yesu ni Mungu!!
Max Shimba Mtumwa wa Yesu Kristo

No comments:

Jesus said to Thomas that HE IS THE LIVING GOD

John 14 ► Peshitta Holy Bible Translated Verse 5 and 6 Thoma said to him, “Our Lord, we do not know where you are going and how can we know ...

TRENDING NOW