Kwa mara nyingine tena, Allah analeta utata katika Quran yake ambayo sasa naweza kusema imejaa shaka na utata na ni ya kutengenezwa kama vitabu vya aladini.
BUSTANI MOJA:
Katika Surat Al Hadid 21. Kimbilieni msamaha wa Mola wenu Mlezi, na Pepo ambayo upana wake ni kama upana wa mbingu na ardhi, iliyo wekewa walio muamini Mwenyezi Mungu na Mitume wake. Hiyo ndiyo fadhila ya Mwenyezi Mungu, humpa amtakaye. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye fadhila kuu

Kwenye hiyo aya hapo juu inasema "PEPO" Ikimaanisha ipo moja NA AU KUNA PEPO MOJA TU. Soma aya zaidi katika 41:30 [the Garden], 57:21 [a Garden], 79:41 [the Garden]
LAKINI NILIPO ISOMA ZAIDI KURAN, NIKAKUTANA NA HUU UTATA:
BUSATI NYINGI:
Surat Al Kahf 31. Hao watapata Bustani za milele, zinazo pita mito kati yake. Humo watapambwa kwa mavazi ya mikononi ya dhahabu, na watavaa nguo za kijani za hariri na at'ilasi, huku wakiegemea humo juu ya makochi. Ni malipo bora hayo! Na matandiko mazuri mno ya kupumzikia!

Nukuu zaidi 22:23, 35:33, 78:32 [kila mara anatumia wingi, each time: "Gardens"]?
Aya hapo juu inasema Bustani "ZINAZO".... Hapo teyari umesha elewa kuwa sio bustani moja kama alivyo dai kwenye Surat Al Hadid aya ya 21.
Ndugu msomaji, teyari tumesha msambaratisha Allah na Quran yake ya kutengenzwa kama ulivyo tengenezwa Uislam.
Mimi sina la ziada zaidi ya kuwaombea ndugu zetu waje kwa YESU MUNGU MKUU.
Kwa wanao jua ung'eng'e:
How many gardens are there in paradise?
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.
No comments:
Post a Comment