Sunday, October 16, 2016

KILA SIKU WAISLAM 16,000 BARANI AFRIKA WANAOKOKA NA KUWA WAKRISTO


Uchunguzi uliofanywa na Al Jazeerah na kutanganzwa na Sheikh Al Katani, Rais wa " The Companions Lighthouse for the Science of Islamic Law in Libya" unaonyesha kuwa, kila baada ya Saa moja Waislam 667 Barani Afrika wanaokoka na kuwa WAKRISTO,
Hii inamaanisha kuwa kila Masaa 24 Waislam zaidi ya elfu kumi na sita "16000" wanaokoka na kuwa Wakristo katika bara la Afrika peke yake. Sasa fikiria ni Waislam wangapi wanaachana na Uislam na kuwa Wakristo, au Buda au Hindu au Judaism au wapinga Mungu "Atheism"? Ndio maana Kitengo hicho kikasema kuwa Uislam unapuputika kwa kasi sana.
- Snip-
“Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja” (Mathayo 24:14).
-Snip-

No comments:

Jesus said to Thomas that HE IS THE LIVING GOD

John 14 ► Peshitta Holy Bible Translated Verse 5 and 6 Thoma said to him, “Our Lord, we do not know where you are going and how can we know ...

TRENDING NOW