Hebu rejea kwenye Kuran kwanza:
Suratul Anbiyaa 91. Na mwanamke aliye linda uke wake, na TUKAmpulizia katika roho YETU, na TUKAmfanya yeye na mwanawe kuwa ni Ishara kwa walimwengu.
Ndugu zanguni, Allah ameanza vituko vyake hapa. Katika Koran Allah anadai kuwa hana msaidizi Suratul Baqarah: aya 106 ― 107 Lakini katika aya tuliyo isoma hapo mwanzoni - Suratul Anbiyaa 91 tumeona kuwa Allah anatumia wingi alipo kuwa akielezea jinsi alivyo mpa ujauzito Maryam na au labda wenzetu wana MA-ALLAH WENGI.
Waislam, nyie mna Ma-Allah wangapi?
ULE UTATA UNAOWASUMBUA WATU KILA KUKICHA, JE! HAWA WANAOTUMIA WINGI KATIKA QURAN NI MUNGU AU NI WENGINE?
ALLAH ANAMUUMBA ISA BIN MARYAM KWA KUTUMIA WINGI:
Kuran imejaa utata, hebu soma hapa Suratul Attahriim 12. Na Mariamu binti wa Imrani, aliye linda ubikira wake, na TUKAmpulizia humo kutoka ROHO YETU, na akayasadiki maneno ya Mola wake Mlezi na Vitabu vyake, na alikuwa miongoni mwa wat'iifu.
HAPA: Allah anasema kwa undani zaidi TUKAmpulizia ROHO YETU. Hivi huyu Allah ni kweli alikuwa Mungu au ni madai ya Muhammad na rafiki yake Jibril? Mbona alisema kuwa yeye hana msaidizi wala Mwana? Kivipi Allah anatumia wingi katika kumuumba Isa Bin Maryam? Kumbe Waislam mna Ma-Allah wengi.
Aya zaidi kuhusu Maryam na kupata ujauzito za Isa: Suratul Anbiyaa 91.
Endelea hapa tena:
ALLAH ANAMUUMBA BINADAMU KWA KUTUMIA WINGI:
Suratul Hijr 26. Na tulimuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yaliyo tiwa sura.
HAPA tumesoma kuwa Allah anamuumba Binadamu kwa kutumia wingi" Nukuu: Na TULIMUUMBA MTU"
Endele hapa tena
Endele hapa tena
ALLAH ANAUMBA MAJINI KWA KUTUMIA WINGI:
Suratul Hijr 27. Na majini tuliwaumba kabla kwa moto wa upepo umoto.
Suratul Hijr 27. Na majini tuliwaumba kabla kwa moto wa upepo umoto.
Allah anaendelea kutumia wingi katika uumbaji. Sasa anasema kuwa "TULIWAUMBA MAJINI" Allah anaendelea kutumia wingi katika uumbaji.
KARIBU TUONE,,,
QURAN 39:2 " KWA YAKINI, SISI TUMEKUTEREMSHIA KITABU HIKI KWA HAKI, BASI MUABUDU MWENYEZI MUNGU KWA KUMFANYA MOLA YEYE TU"
QURAN 39:2 " KWA YAKINI, SISI TUMEKUTEREMSHIA KITABU HIKI KWA HAKI, BASI MUABUDU MWENYEZI MUNGU KWA KUMFANYA MOLA YEYE TU"
hapo tunaona, hao wanaotumia WINGI (sisi) WAKISEMA, ndio wameteremsha Quran, na wanamwambia mtume amuabudu mwenyezi Mungu tu!
Hebu tujiulize Je! Hawa Wanaosema hivyo ni kina nani hasa?
Waislam wanasema kuwa hao ni Mungu maana Mungu hutumia WINGI kwa sababu ya Ukuu wake, Ok, hebu tukubaliane na DHANA HIYO HALAFU TUENDELEE KUANGALIA MAANDIKO,
SURAT AD-DAHR :2 " KWA HAKIKA TUMEMUUMBA MTU KUTOKANA NA MBEGU YA UHAI ILIYOCHANGANYIKA,,,,,
Waislam wanasema kuwa hao ni Mungu maana Mungu hutumia WINGI kwa sababu ya Ukuu wake, Ok, hebu tukubaliane na DHANA HIYO HALAFU TUENDELEE KUANGALIA MAANDIKO,
SURAT AD-DAHR :2 " KWA HAKIKA TUMEMUUMBA MTU KUTOKANA NA MBEGU YA UHAI ILIYOCHANGANYIKA,,,,,
3) HAKIKA SISI TUMEMUONGOA (TUMEMBAINISHIA) NJIA,,, ,
kwa mujibu wa aya hizo hapo, utaona hao wanajiwakilisha kama Mungu, maana uwezo wa kuumba ni wa Mungu,
Na sio hizo tu, aya nyingi sana, hao wanaotumia (sisi) huchukua nafasi kama Mungu,,,
HEBU LEO TUMALIZIE UTATA HAPA
SURAT AL MA'ARIJ (70):40-41
40)"BASI NAAPA KWA MOLA WA MASHARIKI ZOTE NA MAGHARIBI ZOTE KWAMBA SISI TUNAWEZA "
41)"KUWABADILI (NA KULETA) WALIOBORA KULIKO WAO, NA SISI HATUSHINDWI (NA KITU)"
SURAT AL MA'ARIJ (70):40-41
40)"BASI NAAPA KWA MOLA WA MASHARIKI ZOTE NA MAGHARIBI ZOTE KWAMBA SISI TUNAWEZA "
41)"KUWABADILI (NA KULETA) WALIOBORA KULIKO WAO, NA SISI HATUSHINDWI (NA KITU)"
Katika aya ya 40, hao wanaapa kwa Mola (mkuu) na WANASEMA WANAWEZA KUWABADILI NA KULETA WALIOBORA, HAWASHINDWI KITU (41)
SWALI :
JE! NANI ATAKAYE TUAMBIA, HAWA WALIOAPA KWA MOLA WA MASHARIKI YOTE NA MAGHARIBI YOTE NA KUDAI KUWA HAWASHINDWI KITU NA WANAWEZA KUWABADILI NA KULETA WALIOBORA NI KINA NANI HAWA?
JE NI MUNGU? (kama ni Mungu iweje aape kwa Mola wa mashariki yote na magharibi yote?)
JE NI JIBRIL (Ikiwa ni Jibril, yeye anaweza kila kitu Kama Mungu,? maana Mungu ndiye awezaye kila kitu halafu iweje atumie wingi "sisi ')?
JE NI MTUME? (atawezaje kila kitu)?
Wadhalimu wa dini ya Kiislam wamekuwa mstari wa mbele kusema kuwa, eti Wakristu wana miungu mingi na wao wana Mungu Mmoja tu naye ni Allah. Leo tumejifunza kuwa, Allah hayupo peke yake maana sasa anatumia wingi katika kazi zake ikiwa pamoja na ya uumbaji wa Binadamu na Majini.
Nukuu zingine ambazo ALLAH anatumia wingi: S. 3:44, S. 3:145, S. 17:1, S. 6:114, S. 19:40-42, 50-53, 56-74 Arberry, S. 2:252-253 , S. 3:108 Y. Ali; cf. S. 45:6, S. 37:161-166 Pickthall, S. 37:170-182 Y. Ali, S. 23:12-14 Arberry, S. 19:16-2, S. 66:12 Pickthall, S. 15:26-29 Pickthall.
Ndugu zanguni nimeweka ushaidi wa kutosha kutoka Quran yao kuhusu wingi ambao Allah amekuwa anautumia kila mara kwenye Quran yake.
1. Waislam, nyie mna MA-ALLAH WANGAPI?
2. Je, Allah anaye Msaidizi?
3. Je, Allah anaye Mwana ambaye na yeye ana wadhifa wa Ki Allah?
4. Kwanini Allah anatumia wingi huku tukifahamu kuwa Allah hafananishwi wala hana msaidizi?
2. Je, Allah anaye Msaidizi?
3. Je, Allah anaye Mwana ambaye na yeye ana wadhifa wa Ki Allah?
4. Kwanini Allah anatumia wingi huku tukifahamu kuwa Allah hafananishwi wala hana msaidizi?
Hakika kuna shaka kubwa kubwa kwenye Quran ya Allah ambayo sasa inasema kwa kutumia wingi.
YESU ANAKUPENDA SANAAAAAAA!!!
Barikiwa sana
For Max Shimba Ministries Org.
No comments:
Post a Comment