Tuesday, September 20, 2016

VIOJA VYA MUHAMMAD: ETI MAITI YA KIISLAMU INA UFAHAMU. NA INAJUA NANI ANAIBEBA


Kasema Mtume (S.a.w)
“Hakika maiti anajua nani anaembeba, na nani anaemuosha, na nani anaemtia kaburini mwake” (Mweli Mwaminifu, Juzuu ya 1-2, Hadithi Na. 422, Uk. 188)

MWAMDISHI SHEIKH SAID MOOSA MOHAMED AL-KINDY
Hivi jamani unaposema maiti kuna kujua tena? kuna uhai tena? yaani muislamu akifa, yule anaemosha, yaani anaemkamua mavi, anaemtia kidole matakoni kuhakiki kama mavi yote yameisha, anamjua, maana kuna siri hapo kwenye kukamua, wanaambiwa wasitoe siri hiyo nje, kwa ushahidi huu
Kasema Mtume (S.a.w) “Anaeosha Maiti basi aanze kwa kumkamua” (Mkweli Mwaminifu, Juzuu ya 1-2 Hadithi Na. 423, Uk. 188)

423 Na muradi wa kukamua, si kama inavyokamuliwa nguo, la: bali analazwa chali, kisha anakalishwa nkitako na huku anakandamizwa kidogo kidogo tumboni kisha unamrejesha tena chali kisha unamuinua kumkalisha na mkono wako uwe tumbono mwake, unafanya hivyo mara tatu, kisha unamosha tena. Na ikiwa umemtoka uchafu wote tumboni kwa njia ya haja utupu wa nyuma, Bai useme kitu wala msimwambie mtu, ukitoa siri yake maiti basi hupati thawabu, na badili yake unapata madhambi.

Hapo kwenye usitoe siri ndipo penye kutiana vidole makalioni kwa maiti maana huwezi jua kama uchafu umeisha mpaka umtie kidole kwa pamba au kitambaa cheupe,uone umetoka uchafu wa rangi gani, maana miti yule kwa mujibu wa Muhammad, anajua kabisa fulani kanitia kidole matakoni, kwa hivyo muislamu akitoa siri hiyo basi anapata dhambi, badala ya thawabau. SASA TUJIULIZE, JE Maiti anakuwa na ufahamu wowote? anaejua yote hayo ni marehemu aliye hai? Msikilize Mfalme Sulemani anavyosema.

Muhubiri 9:5 kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa; lakini wafu hawajui neno lo lote, wala hawana ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa

Kwa ushauri wangu, waislamu msitishike na hao maiti wenu, hawajui lolote, kwa hivyo hizo siri tupeni manzowafanyia hao marehemu wenu.

No comments:

JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD "

 JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD " Author: Dr. Maxwell Shimba  Jesus Declares, “I am the Alap and the Tau” – Under...

TRENDING NOW