Waisalmu wamekuwa ni watu wa kujivuna kujingamba kuwa wao ndiyo wenye Dini ya kweli, Ibada ya kweli na Mungu wa kweli, na kuwaona wengine kuwa ni wapagani na ni watu wasiojielewa, Kumbe wao waislamu hawajui kuwa Ibada yao hiyo na huyo mungu wao Allah wamerithi kutoka kwa wapagani wa Makka, ambapo walikuwa wakifanya baadhi ya Ibada kama ambazo leo waislamu wanazifanya na pia wakimwabudu mungu wao wa kipagani ambaye leo hii ndiye anaeitikadiwa na waislamu kuwa ndiye Muumba wa mbingu na Nchi.
Katika somo tutaangalia mambo ma 4
1) MUNGU ZAMA ZA UPAGANI
2) JENGO LA AL KAABA
3) IBADA YA KUHIJI WAPAGANI PAMOJA NA WAISLAMU
4) MIEZI YA KUHIJI YA WAPAGANI NA WAISLAMU
Hivyo ni vitu muhimu sana kwa waislamu AMBAPO katika nguzo za Uislamu Shahada ya kumkiri Allah kuwa ni mungu mmoja, ndiyo moyo wa Uislamu,
na Nguzo ya mwisho ya kwenda kuhiji Makka, ni nguzo muhimu sana kwa wale wenye uwezo kwani hupelekea wao kufutiwa madhambi yao yote, kwa mujibu wa Imani yao, kwa hivyo Matajiri na wale wenye uwezo, hufanya maovu sana huchangamkia fursa hiyo ya kwenda kuhiji Makka, ili maovu yao hayo yaweze kusameheka kupitia njia hiyo ya kuhiji
na Nguzo ya mwisho ya kwenda kuhiji Makka, ni nguzo muhimu sana kwa wale wenye uwezo kwani hupelekea wao kufutiwa madhambi yao yote, kwa mujibu wa Imani yao, kwa hivyo Matajiri na wale wenye uwezo, hufanya maovu sana huchangamkia fursa hiyo ya kwenda kuhiji Makka, ili maovu yao hayo yaweze kusameheka kupitia njia hiyo ya kuhiji
1)ALLAH MUNGU ANAEBUDIWA NA WAISLAMU ALIKUWA MUNGU WA WAPAGANI
Sasa tuanze kumuangalia huyu Allah mungu anaebudiwa na Waisalmu zama zile kabla ya Uisamu alikuwa akiabudiwa na wapagani, na ushahidi huu tunaupata kupiptia kitabu cha MAISHA YA NABII MUHAMMAD, KILICHOANDIKWA NA SHEIKH ABDULLAH SALEH FARSY, UK 57 PARAGRAPH YA 2. AMBAPO katika Paragaph ya 1 kuna habari ya Vita vikubwa ambavyo waislamu walizidiwa na Makureshi, ambao walimshambulia Muhammad kwa mawe na kumg’oa meno ya barazani, na kumzamishia misumari mashavuni, na kisha waislamu kumkimbizia kwenye Jibali ili asiuawe, kisa ikiwa ni Muhammad kutaka kuwabadili wapagani wawe waislamu, Paragraph ya 2 Nainukuu.
"Wakati huo wote walikuwa wamekwisha kupumzika, na makureshi wote wamejikusanya pamoja tayari kwa kuondoka. Mara Masahaba wakasikia sauti ya Abuu Sufyan Mkubwa wa Makureshi inanadi-inasema “Muhammad yu hai au amekufa? Muhammad yu hai au amekufa?? Mtume akawaambia masahaba zake wasimjibu. Mara ikanadi tena, “Abubakari yu hai au amekufa? Abubakar yu hai au amekufa” pakawa jii vile vile pasipatikane jawabu, Ikanadi tena kwa mara ya tatu Ikisema, “Umar yu hai au amekufa? Umar yu hai au amekufa?” Ilivyokuwa Jii Vile vile yule Abu Sufyan alisema, “Wallahi hawa wote wamekwisha kufa.” Sayyidna Umar alishindwa kustahimili kusikia haya alinyanyua sauti na kumijbu, “WOTE HAO UNAOWATAJA WA HAI, WAKO TAYARI KUKUTANA NA WEWE NA MAJESHI YAKO KILA WAKATI”
Abu Sufayan akasema, “Katukuka leo mungu mkubwa wetu-Hubal katukua leo mungu mkubwa wetu-Hubal Vita ni mapokezano siku ya hawa na siku ya wale na siku hii yetu leo ni kwa ile siku siku yenu ya Badr. Enyi Waislamu! Mtaona maiti wenu watu waliokatwa vipande vipande vipande. Mimi sikuamrisha watu wangu kufanya haya, wala sikuwakataza, wala hayakunifurahisa hayo, wala hayakunichukiza. Sasa tunakupeni habari ya kuwa tunakutakeni tena kwa mwaka wa pili mwezi wa shabani katika mtaa wa Badri” Mtume akamwamrisha Sayyidna Umar amjibu “Tayari tutakutana hapo” Tena akainuka Hind mkewe Abu Sufyan akaimba jimbo zake juu ya jabali hili, baada ya haya Abu Sufyan akamrisha watu wake washike njia kwenda zao Makka, baada ya kuwazika maiti wao 23" (MWISHO WA KUNUKUU)
Abu Sufayan akasema, “Katukuka leo mungu mkubwa wetu-Hubal katukua leo mungu mkubwa wetu-Hubal Vita ni mapokezano siku ya hawa na siku ya wale na siku hii yetu leo ni kwa ile siku siku yenu ya Badr. Enyi Waislamu! Mtaona maiti wenu watu waliokatwa vipande vipande vipande. Mimi sikuamrisha watu wangu kufanya haya, wala sikuwakataza, wala hayakunifurahisa hayo, wala hayakunichukiza. Sasa tunakupeni habari ya kuwa tunakutakeni tena kwa mwaka wa pili mwezi wa shabani katika mtaa wa Badri” Mtume akamwamrisha Sayyidna Umar amjibu “Tayari tutakutana hapo” Tena akainuka Hind mkewe Abu Sufyan akaimba jimbo zake juu ya jabali hili, baada ya haya Abu Sufyan akamrisha watu wake washike njia kwenda zao Makka, baada ya kuwazika maiti wao 23" (MWISHO WA KUNUKUU)
Kwa mujibu wa melezo hayo tunashuhudia kuwa Huyo Abu Sufyan ambaye yeye alikuwa mpagani, aliapa baada ya kutambua kuwa Muhammad na masahaba zake wakubwa yaani Abubakar na Umar kuwa wamekwisha kufa, alisema, Wallahi, Neo HILI Wallahi linahusika leo na Mungu anaebudiwa na waislamu, na hata waislamu nao hauapa vile vile kwa kusema Wallahi kama alivyoapa Abu SUFYAN mpagani, na pia Isitoshe Abu SUFYAN ALISEMA, ametukuka Mungu mkubwa wetu, katika Lugha ya Kiarabu, ni Sub-haana Allahu Akbaru, na hata Leo waislamu pia hutumia kauli hiyo nao wakisema Sub-haaNA LLAHU, na pia husema Allahu akbaru, yaani ametukuka mwenyezi Mungu, Mungu mkubwa, kama alivyokuwa Mungu wa wapagani aliyenadiwa na mpagani ABU SUFYAN, kwa hivyo waislamu wamechukua utukufu wa mungu wa wapagani, na pia nyapo za wapagani juu ya mungu wao mkubwa. Ndiyo maana tunasema Uislamu ni upagani ulioboreshwa.
2) JENGO LA AL-KAABA
Jengo hili Waislamu hulitukuza sana kwa kudai kuwa ni jengo ambalo Ibrahimu wao feki, alilijenga yeye na mwanae Ismaili, miaka mingi. Kwa hivyo huiita nyumba Kongwe, na wakati jengo hilo lilikuwa likifanyiwa Ibada na wapagani ambao walikuwa wamejaza miungu yao nje na na ndani ya Al-kaaba; na hata Muhammad alipozaliwa babu yake alienda kumuombea kwenye hiyo miungu ya wapagani, ambapo palikuwa na miungu mingi midogo na mungu mkubwa alikuwa Hubal, ambapo Abu Sufyan alimsifu kwa kumuapia Wallahi, yaani akimaanisha huyo Hubal ndiye Allah, hebu ngoja tuangalie ushahidi huo wa kuonesha kuwa Al-kaaba lilikuwa ni Jengo la Wapagani kabla ya uislamu.
Katika Kitabu cha MAISHA YA NABII MUHAMMAD UK 3 PARAGRAPH YA 3-4 KINASEMA
A. WAZEE WAKE WANAUME
Mtume wetu (Rehema za mwenyezi Mungu juu yake) ni Muhammad bin Abdillah, bin Abdil muttalib, bin Hashim, Bin Abdil Manaf, bin Qusay. Kila mmoja katika mababu zake alikuwa ni bwana katika wakati wake. Matukufu yote ya kikureshi aliyakusanya bwana Qusay katika wakati wake, na yeye aliwarithisha wanae. Makureshi walikuwa na matukufu yao yao 12 walikuwa wakiitakidi kwamba kila lenye mawili ndiyo bora zaidi kuliko lenye moja. Na ukoo wenye mengi zaidi ndio bora kabisa. Matukufu yenyewe ni haya, na mengineyo, na yote aliyazuia Bwana Quasy na akawarithisha wanae.
1. SIQAYA: "Kuwatengenezea maji ya kutosha watu wanaokuja kuhiji. Makka ilikuwa na tabu kubwa ya maji. Haina mito wala waziwa, maji yakipatikana visimani tu. Na visima vyenyewe vilikuwa mbali mbali, wala havina maji mengi, Basi walikuwa wanapata tabu kubwa mahujaji wakati walipokuwa wanakuja Makka. Bwana Qusay akaona ni shauri zuri kutengeneza mahodhi ya ngozi ya kutia maji kuwawekea tayari hao Mahujaji wanapokuja kuhiji. Ukoo makhususi baadaye ulichukua kufanya kazi hii ukadhamini kutoa gharama zote za kuteka maji hayo na kuatia zabibu na lozi kuyafanya kama sharubati.
2. RIFADA: Kuwatengenezea chakula cha bure mahujaji waliokuwa hawajiwezi kujilisha kwa gharama zao, Ulichukua ukoo mahusui gharama za vyakula hivi, ingawa kila mtu aliyetaka alikuwa anayo ruhusa kuusaidia ukoo huo, katika baadhi ya gharama.
3. HIJABA. Kushika funguo za Al-kaaba na kuwa na amari ya kuwafungulia wanaowataka na kuwazuilia kuingia wasiowapenda. Kazi hii ilikuwa katika mikono ya ukoo makhsusi.
4. LIWAA. Kuwa na ukubwa wa majeshi ya vita wakati vinapokuwa vita, na kuwa na mkubwa katika misafari ya biashara.
5. NAD-WA . Kuwa na urahisi wakati wanapokusanyika Makureshi kwenye nyumba yao ya mkutano Iliyokuwa ikiiwa Darnad wa Na mengi yasiyokuwa hayo ambayo si lazima tuyataje hapa.
Ama Abd Manaf yeye ndiye baba wa koo tatu katika hizokoo nne tukufu za kikureshi
1 Ban Hashim bin Manaf
2. Ban umayya bin Abd Shams bin Abd Manaf.
3. Ban Naufal bin Abd Manaf
2. Ban umayya bin Abd Shams bin Abd Manaf.
3. Ban Naufal bin Abd Manaf
Na Bwana Hashim ameitwa hivyo (baada ya kuwa akiitwa Amiri) kwa ajili ya ukarimu wake kubwa aliokuwa akifanya wakati ilipoingia njaa katika Nchi ya Hijaz, alikuwa akiamrisha kupikwa michuzi na kufanywa mikate ya ngano kupewa kila anaekuja na kupelekewa kila Kureshi katika mji wa Makka. Na Bwana Abdul Muttalib ndiye aliye chimba kisma cha zam zam ambacho mpaka leo kinatumika kisima hiki kilikuwa kikitumika zama za nabii Ismail baadae kikazibwa na kabila nyingine, zilizotawala MAKKA, mpaka akakichimba tena Bwana Abdul Muttalib. Na katika MIAKA YAKE ya mwisho mwisho aliingia katika chama cha watu kidogo waliokuwa wakikataa kulewa, kuzika watoto wao wanawake wangali hai na kuabudu masanamu. Na Zama za ujumbe wake aliwakataza watu kutufu (Kuzunguka Al-kaaba) bila ya nguo
baada ya kuwa wakitufu bila ya nguo Baada ya kuitikadi kuwa nguo ni kitu kinachopataa uchafu hivyo hakistahili kuvaliwa wakati wa Ibada"
baada ya kuwa wakitufu bila ya nguo Baada ya kuitikadi kuwa nguo ni kitu kinachopataa uchafu hivyo hakistahili kuvaliwa wakati wa Ibada"
Na pia hata Muhammad wenyewe baada ya kuzaliwa alipelekwa kwenye hilo Jengo ambalo watu walikuwa wakitufu uchi kwenda kuombewa dua kwa miungu hiyo.
KITABU CHA MAISHA YA NABII MUHAMMAD UK 5 PARAGRAPH YA YA 3
Pale pale alfjiri alipokwisha kuzaliwa Mtume, alikwenda kuitwa BABU yake kuja kumuona mjukuu wake huyo. Babu huyu alifurahi sana, na akamfunikafunika maguo mjukuu wake, akajikongoja naye mpaka kwenye Al Kaaba. Akafungua mlango akaingia naye ndani akasimama amuombee dua kwa mashairi mazuri ya kiarabu aliyoyatunga mwenyewe wakati ule ule na kisha akarejea naye, na jua bado kuchomoza.
IBADA HIZO ZA KIPAGANI AMBAZO ZILIKUWA ZIKIFANYIKA ZA KUZUNGUKA AL-KAABA ZILIFANYIKA HATA KABLA YA MUHAMMAD KUZALIWA WALA HAPAKUWA NA MTU YE YOTE MWENYE KUUJUA UISLAMU WAKATI HUO, NA ISITOSHE HATA BABU YAKE NA MUHAMMAD ALIENDA KUMUOMBEA DUA MUHAMAMD KWA MIUNGU YAO , NA KUMWEKA WAKFU KWA AJILI YA UTUMISHI WA mungu huyo wa wapagani na Babu huyo kafa wakati Muhammad ana mika 8 UISLAMU BADO HAUJAANZA KWA MAANA KUWA MZEE HUYO KAFA HAUJUI UISLAMU, ILA TU ALIMWEKA WAKFU MUHAMMAD KWENYE IBADA AMBAYO WATU WALITUFU KWENYE AL-KAABA WANGALI UCHI WA MNYAMA, WAKIITIKADI KUWA NGUO NI KITU KINACHO SHIKA UCHAFU NI KITENDO AMBACHO LEO KIMEBORESHWA NA WAISLAMU, WAO WAKIENDA KUTUFU KWENYE AL-KAABA HUVAA MASHUKA MAWILI TU HUKU NDANI WAKIWA HAWANA HATA CHUPI, YAANI NDANI WANAKUWA EMPTY, NAO WAKIHOFIA KUWA CHUPI NI RAHISI KUSHIKA UCHAFU, KWA MAANA YA MKOJO, NA MAJI MAJI UKENI KWA WANAWAKE WA KIISLAMU, WAISLAMU WAO KUAMUA KUVAA HIZO SHUKA MBILI, NI KUHOFIA KWAO KUPATA UPEPO MOJA KWA MOJA KUTOKA KWA SHETANI KUJA KATIKA KATIKATI YA MATAKO YAO, KWANI HUPULIZWA NA SHETANI MATAKONI, KWA KUWA SHETANI HUCHUKIZWA NA KITENDO CHA WAISLAMU KUMPIGA MAWE HUYO SHETANI NDANI YA JENGO HILO LA AL-KAABA, KWA HIVYO HASIRA ZAKE HUZIELEKEZA KATIKATI YA MATAKO YA WAISLAMU KWA KUWAPULIZA, KAMA ALIVYOSEMA MUHAMMAD
Kasema Mtume (s.a.w) “Anamwijia mmoja wenu shetani katika sala, basi anapuliza (anampuliza) katika matako yake, basi yule mtu inamwijia fikiria ya kuwa umemtoka upepo (kajamba) nae haukumtoka, basi akiona hali hiyo asiondoke kwenye sala mpaka asikie sauti ya kumtoka huo upepo au anuse harufu yake”. (KITABU CHA MKWELI MWAMIU, JUZUU YA 1 -2 HADITHI NA. 74, UK 42)
KWA HIVYO SHUKA HUWASIDIA ANGALU kupunguza makali ya upepo unapopenya katikati ya matako yao kutoka kwa shetani
3. KUHIJI KWA WAPAGANI PAMOJA NA WAISLAMU
Tumetangulia kuona kuwa Wapagani walikuwa wakitufu kwenye Al-kaaba Jengo lilikuwa likimilkiwa na wapagani, ambalo pia Muhammad ALIPOANZA KUTANGAZA Dini yake HIYO MPYA YA KIISLAMU alijaribu kuwarai hao wapagani wampe nafasi yeye na waislamu wenzie wapate angalau nafasi ya kuhiji na wao, lakini, Wapagani wale waliwapa kichapo hao Waislamu, kama ambavyo tunasimuliwa katika Quran Tafsiri ya Sheikh Abdullah Saleh Farsy, Sura 5:2 na ufafanuzi wake.
Quran 5:2 Enyi Mlioamni msivunje Hishima ya alama (ya dini) ya Mwenyezi Mungu wala (hishima) ya mwezi wa uliotukuzwa wala hishima ya wanyama wanaopelekwa Makka kuchinjwa, wala (Hishima) ya vile vinavyotiwa (hao wanyama) vya kuonesha kuwa wanakusudiwa Makka, wala )Hishima) ya wale wakisudiayo kwenda kwenye nyumba takatifu (ya Makka) (wanakwenda huko) kutafuta fadhila za mola wao na Radhi (yake) na mkishatoka katika hija yenu basi windeni (mkitaka) wala kule kuwachukia watu kwa kuwa walikuzulieni kufika msikiti uliotukuzwa( wa Makka) kusikupelekeni kuwafanyia jeuri (Ili kuwalipa jeuri yao: msifanye) Saidianeni katika wema, na taqwa, wala msisaidiane katika dhambi na uadui,
Na mcheni Mwenyezi Mungu: hakika Mwenyezi Mungu ni mkali wa kuadhibu.
Na mcheni Mwenyezi Mungu: hakika Mwenyezi Mungu ni mkali wa kuadhibu.
Sheikh Farsy anatupa habari ya sababu ya kushuka aya hiyo, anasema.
Ufafanuzi wa 5:2 Basi mahujaji hao hata wakiwa ni wa kikafiri ambao wakipigana na waislamu; lakini wamo katika hija wanakwenda kwa salama basi waislamu wasivunje taadhima ya hija yao, japokuwa hao makafiri waliwafanya mabaya hao waislamu kabla ya hapo. Waislamu walipokuwa hawana nguvu hao makafiri walikuwa wakiwazuia kuja Makka kuhiji. Waislmu waliwarai kila namna wawape ruhusa waingie hiyo Makka mara moja wahiji kisha waende zao. Nao walikataa na waliwadhatitia vita vya kuwapiga, na wakawahi kuwadhuru baadhi yao. Na juu ya hivi Waislamu walipopta nguvu waliambiwa wasilipe ubaya wao, watu hawasaidiani katika kufanya mabaya, watu husaidiana katika kufanya mema.
Tanbihi: Makafiri walikuwa wakienda huko Makka kuhiji mbele ya masanamu yao hayo waliyoyatia ndani na nje ya Al Kaaba. Mpaka katika mwaka wa 9 wa Al-Hijra (bado mwaka mmoja Mtume atakufa) walizuiwa kuhiji hija ya kikafiri.
KWA HIVYO HAO WAISLAMU NDIYO WALIENDA KUOMBA RUHUSA YA KUHIJI KWENYE IBADA AMBAYO ILIKUWA IKIFANYWA NA WAPAGANI PALE MAKKA, IKUMBUKWE KUWA KATIKA MAELEZO YA MWANZO TUMEONA KUWA WALE WALIUOSHIKA FUNGUO WALIKUWA WAKIWABAGUA WATU, YAANI WALIMFUNGULIA AHIJI WALIYEMTAKA NA KUMZUIA WASIYEMTAKA, KWA HIVYO WAISLAMU WAO WALIKUWA NI MIONGONI MWA WATU AMBAO WALIZUIWA KWENDA KUHIJI MAKKA, WAKAJARIBU KUWARAI, IKASHINDIKANA, NDIPO WALIPOAMUA KUJIKUSANYA NA KUPATA NGUVU, NDIPO WAKAENDA KUVAMIA NA KUWAPOKONYA UONGOZI WA AL KAABA WALE WAPAGANI, JAPO KUWA WALITENDWA MABAYA WALIAMBIWA WASILIPIZE KWA KUWA HAO WAPAGANI NI MIONGONI MWA WENZI WAO HIVYO JENGO LAO MOJA, mungu WAO MMOJA, NDIYO MAANA HAWAKURUHUSIWA KUWADHURU, TOFAUTI NA WAKRISTO AMBAO WAO WANATAKIWA KUDHURIWA NA WAISLAMU KWA KUWA IMANI ZAO NI 2 TOFAUTI, NA PIA KUONESHA KUWA KWELI WAISLAMU WALI COPY IBADA ZA KIPAGANI NA KUZIPASTE KWENYE UISLAMU, NI KITENDO CHA WAISLAMU KUSHIRIKIANA NAO HAO WAPAGANI, KUHIJI JAPO PALIKUWA NA MIUNGU 360, WALIPOONA KUWA MUHAMAMD ANAKARIBIA KUFA NDIPO WAKAAMUUA KUJITENGA NA WAPAGANI KWA KUWAZUIA KUHIJI HUMO, YAANI WALICHUKUA MAFUNZO YA KUTOSHA KWA WAPAGANI NAMNA YA KUHIJI KABLA YA KUWAFUKUZA, HALI YA KUWA TARARIBU NI ZILE ZILE, MAANA KATIKA miungu 360, ALIBAKIZWA mungu MMOJA TU ALLAH AMBAYE ALIJULIKANA KAMA HUBAL. AMBAYE LEO NDO ANAABUDIWA NA WAISLAMU
4 MIEZI YA KUHIJI YA WAISLAMU WAMEPORA KUTOKA KWA WAPAGANI.
Waislamu wanadhani kuwa wao wanapoenda kuhiji, basi miezi hiyo wanajua kuwa Muhammad ndiye kainzisha kumbe ilikuwa miezi ya kipagani ambapo Muhammad kaicopy na kuipaste kwenye Uislamu, habari hizo tunazisoma kwenye kitabu cha MAISHA YA NABII MUHAMMAD UK 32 PARAGRAPH YA 2
“Makka-tangu kabla ya kuja UISLAMU, Ilikuwa ni mahali patakatifu kwa Waarabu wote, kila mwaka walikuwa wakija kuhiji, miezi hii hii wanayoitumia sasa waislamu katika kuhiji kwao..” (MWISHO WA KUNUKUU)
Kwa hivyo miezi wanayoitumia waislamu kuhiji ni miezi ya wapagani kwa hivyo Waislamu wao wameiboresha, kama ambavyo vitu vingi wameviboresha, tunaona Jengo la Al KAABA leo limekarabatiwa vizuri, limewekewa vioo, vigae, bara bara za LAMI, majengo mazuri yapo pembeni yake, Tunaona Waislamu wameboresha kuhiji na mashuka mawili BILA CHUPI NDANI, tofauti na waanzilishi ambao wao walikuwa wanatufu uchi bila nguo yo yote, Leo wao wameboresha zaidi kwa kuwaondoa wale masanamu na kumbakiza Allah pekee yake, yaani Hubal, tofauti na wenzao ambo walichanganya wote miungu wale na kuwaabudu pamoja.
UISLAMU HAUNA TOFAUTI NA MITANDAO MIWILI YA SIMU HAPA TANZANIA AIRTEL NA tiGO.
tiGO zamani ilijulikana kama BUZZ NI BOMBA, BAADAE IKABADILISHWA IKAITWA tiGo,
Lakini mitambo ni Ile ile, Minara ilikuwA ni ile ile. Wafanya kazi waliokuwapo kipindi hicho walibaki kuwa walewale na wakaongezeka wengine, hata Airtel nayo NI HIVYO hivyo, Kutoka Celtel kuja Zain na baade Airtel, MITAMBO na wafanya kazi wale wale, ofisi zile zile.
Ndivyo ilivyo kwenye Uislamu na upagani, kwani Uislamu ni UPAGANI ULIO BORESHWA.
Lakini mitambo ni Ile ile, Minara ilikuwA ni ile ile. Wafanya kazi waliokuwapo kipindi hicho walibaki kuwa walewale na wakaongezeka wengine, hata Airtel nayo NI HIVYO hivyo, Kutoka Celtel kuja Zain na baade Airtel, MITAMBO na wafanya kazi wale wale, ofisi zile zile.
Ndivyo ilivyo kwenye Uislamu na upagani, kwani Uislamu ni UPAGANI ULIO BORESHWA.
No comments:
Post a Comment