Friday, September 9, 2016

SHEIKH WA MSIKITI WA GOMA AKAMATWA KWA KUZINI

KWANINI WAISLAM HAMKUMPIGA BAKORA MIA KWA KOSA LA UZINIFU?
NDIO MAANA NASEMA UISLAM NI DINI YA KUTENGENEZA TU NA DINI YA WAARABU. SIJAWAI SIKIA WAISLAM WA BONGO WAKIPIGA BAKORA MIA WAZINIFU.
QURAN 24:2, SURAT, AN-NOOR
Mzinifu mwanamke na mzinifu mwanaume, mtandikeni kila mmoja wao bakora mia. Wala isikushikeni huruma kwaajili yao katika huruma ya Mwenyezi Mungu. Ikiwa ninyi mnamwamini Mwenyezi Mungu na siku ya mwisho. Na lishuhudie adhabu yao kundi la wauminh. ( mwisho wa kunukuu)

No comments:

Jesus said to Thomas that HE IS THE LIVING GOD

John 14 ► Peshitta Holy Bible Translated Verse 5 and 6 Thoma said to him, “Our Lord, we do not know where you are going and how can we know ...

TRENDING NOW