Sahih Bukhar Volume II Namba 167. Nabii Muhammad alipagawa na kuweweseka baada ya kuona kupatwa kwa jua. Muhammad alifikiria kuwa kiyama kimefika na ameachwa na Allah.
Eti huyu ndio alikuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu, THUBUTU.
Ndio maana Muhammad aliukana utume wake:
SOMA HAPA:
MUHAMAMD ANAOMBWA AFANYE MIUJIZA ILI KUTHIBITISHA UTUME WAKE:
Surat Al Israai 90. Na walisema: Hatutakuamini mpaka ututimbulie chemchem katika ardhi hii
MUHAMMAD ANAJIBU KUWA YEYE SI CHOCHOTE YULE
Surat Al Israal 93. Au uwe na nyumba ya dhahabu, au upae mbinguni. Wala hatutaamini kupaa kwako mpaka ututeremshie kitabu tukisome. Sema: Subhana Rabbi, Ametakasika Mola wangu Mlezi! Kwani mimi ni nani isipo kuwa ni mwanaadamu na mtumwa tu?
Muhammad hakuwai fanya muuiza wowote ule, hakuponya watu, hakufufua wafu, hakutoa majini zaidi ya kuwaingiza watu majini. Muhammad alikuwa dhaifu.
Kama Muhammad alifikiria kuwa, kupatwa kwa jua ni KIYAMA, kwanini tumfuate mtu wa namna hii aliye ogopa kuachwa na Allah siku ya kiyama?
Kumbe Muhammad hakuwa na uhakika kwa kwenda Akhera.
Qur’an 46;9 (Surat Al-Ahqaf) Sema; mimi si kiroja (mpya) katika mitume wala sijui nitakavyofanywa, wala mtakavyofanywa ninyi, sifuati yaliyofunuliwa kwangu, sikuwa mie lolote, ila ni muonyaji tu ninayedhihirisha.
Eti tuufuate Uislamu chini ya kiongozi Muhammad ambaye hajui hatima yake kama ataenda peponi, au ataenda motoni, bila shaka kwa Mkristo anayejitambua hawezi kuwa Muislamu.
Hakika Muhammad alikuwa Mtume Bandia na Allah ni Mpinga Mungu.
Hakika Muhammad alikuwa Mtume Bandia na Allah ni Mpinga Mungu.
Karibuni kwa Yesu aliye hai,
Max Shimba Ministries Org.
No comments:
Post a Comment