Mkurugenzi wa " Minhajul Quran Islamic Center" nchini Uingereza amehukumia kwenda jela miezi 12 na kulipa faini ya Pound Elfu moja za Uingereza katika Mahakama iliyopo Manchester kwa kosa la kujaribu kumbaka mfanya kazi mwenzake.
Haroon Abbas ambaye ni mwanafunzi wa Pakistan Awami Trhrik (PAT) amesema Mwenyekiti Tahirul Qadri atakuwa chini ya uangalizi wa Polisi kwa miaka mitano ijayo baada ya kutoka Jela.
Gulnar ambaye alitaka kubakwa alisema kuwa Mkurugenzi wake alianza kumtomasatomasa na kujaribu kumbaka kwa nguvu wakiwa ofisini.
Kwa habari kamili soma hapa https://en.dailypakistan.com.pk/…/tahir-ul-qadris-student-…/
No comments:
Post a Comment