Monday, September 12, 2016

MAGUGU "WAISLAMU" WATATUPWA KWENYE TANURI LA MOTO




Kwenye somo letu, tutajifunza kuhusu Magugu "Wapinga Kristo = Waislamu" ambayo yanaota kwenye shamba la Ngano. Huu ni mfano ambao utawafungua macho watu wengi.
Basi Mungu akubariki na kukufungua macho na kuyafahamu na au fahamu sifa za Magugu.
Mfano mmoja aliotumia Yesu kueleza kuhusu Ufalme ni wa mkulima anayepanda mbegu nzuri ya ngano na adui "Shetani" anayepanda magugu katikati ya mbegu hiyo nzuri. Magugu "Waislamu" yanakua ndani ya ngano, lakini mkulima anawaamuru watumwa wake ‘waache magugu na ngano zikue pamoja mpaka wakati wa mavuno.’ Katika majira ya mavuno, magugu yanaharibiwa na ngano inakusanywa. Yesu mwenyewe alieleza maana ya mfano huo. (Soma Mathayo 13:24-30, 37-43.) Mfano huo unafunua nini?
Haya Magugu baada ya mavuno, mkulima, huyakata na kuyafunga vifurushi furushi na kutupwa kwenye moto. Huo ndio mwisho wa magugu.
Akiongea kuhusu ngano na magugu hayo, Yesu alisema hivi: “Acheni zikue pamoja mpaka wakati wa mavuno.” Amri hiyo inaonyesha kwamba tangu karne ya kwanza hadi leo, sikuzote kumekuwa na Wakristo "ngano" na Magugu yanayo kuwa ndani ya Ngano. Mkataa huo unathibitishwa na jambo hili ambalo Yesu aliwaambia wanafunzi wake baadaye: “Mimi nipo pamoja nanyi siku zote mpaka umalizio wa mfumo wa mambo.” (Mathayo 28:20) Kwa hiyo, Yesu angewalinda Wakristo ambao ndio ngano safi mpaka mwisho ufike.
Hata hivyo, kwa kuwa Wapinga Wakristo "Waislamu" walio kama magugu wangeongezeka ndani ya shamba la ngano "Wakristo" mwisho wao ni kutupwa kwenye moto.
Karne nyingi kabla Yesu hajatoa mfano wa ngano na magugu, Yehova alitumia Roho Mtakatifu kumwongoza Malaki, nabii wake kutabiri matukio yanayotajwa katika mfano wa Yesu. (Soma Malaki 3:1-4.) Yohana Mbatizaji ndiye ‘mjumbe aliyefungua njia.’ (Mathayo 11:10, 11) Alipokuja katika mwaka wa 29 W.K.. Yesu alikuwa mjumbe wa pili. Alilitakasa hekalu la Yerusalemu mara mbili—mara ya kwanza mwanzoni mwa huduma yake na mara ya pili karibu mwisho wa huduma yake. (Mathayo 21:12, 13; Yohana 2:14-17) Kwa hiyo, Yesu alitumia kipindi fulani cha wakati kufanya kazi ya kulitakasa hekalu.

Kwanza, kuyakusanya magugu "Wapinga Kristo ambao ni Waislamu". Yesu anasema hivi: “Katika majira ya mavuno nitawaambia wavunaji, Kwanza kusanyeni magugu na kuyafunga matita-matita.”
Matita ya magugu yatafanywa nini? Yatatupwa ndani ya tanuru ya moto.’ (Mt. 13:42) Hilo linamaanisha uharibifu wa milele ndani ya Jehannam. Kwa hiyo, wafuasi hao wa mashirika ya dini za uwongo pamoja na Mtume wao Muhammad wataharibiwa katika sehemu ya mwisho ya ile dhiki kuu, yaani Jehannam.
Huko motoni Jehanum kukoje? Mwanangu, kunatisha, nashindwa hata nikueleze vipi unielewe. Moto wa milele, hatukuwekewa wanadamu bali shetani na malaika zake (Mathaya 25:41). Kama utakwenda huko baada ya kusoma “note” hii, itakuwa ni kwa sababu ya kiburi chako tu, na kushupaza shingo yako na kukataa kulitendea kazi Neno hili (Mithali 29:1). Moto wa Jehanum siyo mahali pa mchezo kama walimu wa uongo wanavyofundisha. Walimu hawa huwafariji watu na kusema eti mtu ataunguzwa na moto na kutoweshwa na kupotea na kuangamizwa kabisa na ndiyo mwisho wake. Wanatumia maandiko kama Mathayo 10:28 (kuangamizwa) na Yohana 3:16 (Kupotea). Kuangamia katika maandiko hakumaanishi kumalizika kabisa, bali kukabiliwa na mauti (Esta 4:16). Mauti ya watu walioko motoni, ni mauti ya milele, kama tutakavyoona hivi punde. Kondoo akipotea, haimaanishi hayupo kabisa ila ametengwa na mchungaji (Isaya 57:1-3).
Vilevile, neno “kuharibu” linapotumika kuhusiana na adhabu ya milele, halina maana ya kufanya kitu kisiwepo, bali ni kuadhibu vikali (1 Wakorintho 3:16-17). Walimu hawa wa uongo, pia hufundisha kwamba, eti watu watatoweshwa kama moshi baada ya kuunguzwa kwa kutumia andiko la Zaburi 37:20. Kutoweshwa hapa ni kutenganishwa na Mungu, kama Adamu na Hawa walivyotoweshwa na kutolewa katika bustani ya Edeni, na hivyo kutengwa na Mungu. Kwa ujumla, mafundisho yote haya yanatokana na shetani, yanalenga kuwafanya watu waendelee kutenda dhambi, huku wakipuuza ukweli juu ya Jehanum, kwa kuwaza kwamba watateseka dakika chache na kupotea kabisa na ndiyo mwisho. Huu siyo ukweli. Ukweli kuhusu Jehanum ya moto ni upi basi? Sikiliza nikuambie!
Jehanum ya moto, au kuzimu, ni shimo kubwa na refu sana lililojaa moto. Wengi tunafahamu jinsi wanawake wanavyouchochea moto wa kuni au mkaa, kwa kuupulizia hewa kwa mdomo, au kipepeo. Sasa basi, moto wa Jehanum nao huchochewa mfululizo, ili usizimike; lakini huchochewa na pumzi ya Bwana, yaani pumzi maalum ya Mungu mwenyewe (Isaya 14:15; Isaya 30;33). Moto wa Jehanum ni mkali sana kuliko moto wowote tunaoufahamu duniani. Moto wa gesi wa kuunganishia vyuma, unaotokana na kuwashwa mchanganyiko wa gesi ya “Oxygen”, na “Acetylene”, unaonekana kwa hapa duniani kwamba ni mkali. Moto huu, siyo chochote, ukilinganishwa na moto wa Jehanum. Katika karakana au viwanda vya vifaa vya vyuma, chuma huyeyushwa na kuwa uji katika matanuru ya moto mkali unaofikia nyuzi joto 2,000 hadi 3,000 na zaidi. Moto huu unaoyeyusha vyuma na ukali wake, huo si chochote! (Kumbuka kwamba maji yaliyochemka sana hufikia nyuzi joto 100 tu!) Moto ulio katikati ya jua linalotuangaza, unafikia nyuzi joto milioni kumi (10,000,000°C). Moto wa jua nao, si chochote ukilinganishwa na moto wa Jehanum! Ukali wa moto wa Jehanum, unatisha (Waebrania 10:26-27). Siyo hilo tu, moto wa duniani una rangi mbalimbali, njano,bluu,mwekundu n.k. Moto wa Jehanum ni tofauti kabisa; Ni moto wa rangi nyeusi, unaosababisha giza na kumfanya mtu aliye motoni, awaone wenzake wachache tu wa karibu naye, hivyo hamna faraja ya kusema “tuko wengi!” Moto huu mweusi, ndiyo maana unaitwa “giza la nje” (Mathayo 8:11-12, Mathayo 22:13; Mathayo 25:30; Yuda 1:6). Siyo hilo tu. Moto huu wa Jehanum, una meno! Hivyo una uwezo wa kuwala na kuwatafuna walioko motoni (Kumbukumbu la Torati 32: 22; Waebrania 10: 26-27). Hata hivyo, pamoja na moto huu kumtafuna mtu, bado una sifa ya kumhifadhi mtu huyo na kumfanya asimalizike, kama jinsi chumvi ilivyo na uwezo wa kuizua nyama kuharibika. Hivyo moto unamtafuna mtu wakati wote, lakini haishi na wala moto wenyewe hauzimiki. Ndiyo maana unaitwa moto wa milele (Marko 9: 43-49; Mathayo 25:41).
Mpokee Yesu SASA ili upate uzima wa milele. Kama bado hujampokea Yesu basi fanya jambo la busara na kugonga kwenye hii linkihttp://www.maxshimbaministries.org/p/kata-shauri-njoo-kwa-y… SOMA SALA YA TOBA NA BARIKIWA SANA.
Ni mimi Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo
Max Shimba Ministries Org.

No comments:

JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD "

 JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD " Author: Dr. Maxwell Shimba  Jesus Declares, “I am the Alap and the Tau” – Under...

TRENDING NOW