Friday, September 9, 2016

JE, UMEWAHI KUSIKIA KUHUSU MIUJIZA YA ALLAH?


Miujiza ya allah ni miujiza ya kipekee. Misikiti inaponusurika majanga kama kimbunga, Tsunami, mafuriko na mitetemeko ya ardhi, waislamu wanadai ni miujiza na huihusisha na allah. Hivyo basi hutumia madai haya kuwahadaa watu kusilimu. Lakini maswali mengi yanayotatiza akili za watu wenye hekima huibuka;
1. KWANINI ALLAH AUWE MAELFU YA WATU NA KUNUSURU MAJENGO?
2. JE, ALLAH ANAPENDA MAJENGO KULIKO VIUMBE WAKE?
3. MIUJIZA YA ALLAH INA MANUFAA GANI KWA ALLAH AU KWA VIUMBE WAKE AMBAO TEYARI NI MAREHEMU.UWAWA NA ALLAH?
4. 99% YA DINI YA WATURUKI NI WAISLAMU, HIVYO BASI NYUMBA ZILIZOZUNGUKA HII MISIKITI NI ZA WAISLAMU. KWANINI ALLAH AZIPOROMOSHE NA KUWAUWA WATURUKI NA KULINDA MAJENGO YA MISKITI?
IKIWA HII ILIFANYWA MAKSUDI NA ALLAH, NI NANI ANGEKUWA RADHI KUABUDU ALLAH AMBAYE ANAVUNJAVUNJA NYUMBA ZA WATU WASIO NA HATIA NA KISHA KUUWA WAFUASI WAKE HUKU AKINUSURU MAJENGO YA MISIKITI YAKE?
ETI KUUWA WATU NA KUNUSURU MAJENGO NI MIUJIZA YA ALLAH.
HUU NI MSIBA MKUBWA SANA.

No comments:

JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD "

 JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD " Author: Dr. Maxwell Shimba  Jesus Declares, “I am the Alap and the Tau” – Under...

TRENDING NOW