Friday, September 2, 2016

IMAMU MOHAMMED HUSSAIN NA MWENZAKE WAKAMATWA KWA KUBAKA MWANAMKE MWENYE MATATIZO YA AKILI



Mwanamke mwenye matatizo ya akili (miaka 22) amebakwa na Imamu wa Msikiti wa Meerut aitwaye Mohammed Hussain aliye shirikiana na Abdul Rashid kufanya huo unyama.
Imam Mohammed akiwa na Abdul walionekana wakiwa na huyo mwanamke usiku huku wakimburuza kwa nguvu. Walipo ulizwa na wapita njia, walidai walikuwa wanamsaidia ili asifanyiwe unyama na watu wabaya, lakini hapo baadae walimpeleka karibu na kituo cha mafuta "Petrol Station" na kumbaka.
Baada ya kumbaka, huyo Imam Muhammed na Abdul waliamua kumrudfisha walipo mtoa, ndipo Polisi waliwaona na kuwakamata.
Kwanza Imam Muhammad na Abdul walidai kuwa huyo mwanamke ni dada yao walipo ulizwa na Polisi, lakini huyo mwanamke aliwaomba Polisi wamsadiai ili awe huru kutoka wabakaji. Polisi walipo wauliza tena kuwa nini hasa kinaendelea, ndipo Imamu Muhammad na rafikiye Abdul walikiri kumbaka huyo mwanamke asiye kuwa na akili timamu. Haya yalisemwa na Kharkhoda ambaye ndie Mkuu wa Kituo cha Polisi.

No comments:

JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD "

 JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD " Author: Dr. Maxwell Shimba  Jesus Declares, “I am the Alap and the Tau” – Under...

TRENDING NOW