Imamu mwenye tabia mbaya wa Msikiti wa Rugby alimbaka mvulana mdogo wakati akimfudsha Quran ndani ya Msikiti na kukimbia nchi.
Imamu Noor Walile (miaka 38) ambaye alikuwa anafanya kazi kwenye huo msikiti, moja ya majukumu yake ilikuwa ni kufundisha Quran kwa watoto wadogo.
Mvulana (Jina limeifadhiwa) alisema kuwa siku ya tukio alikwenda Msikitini kusoma Quran lakini alipo fika Msikitini Imamu Walile alimnyemelea nyuma na kumbaka na kumsababisha maumivu makali.
Kwa habari kamili ingia hapa http://www.coventrytelegraph.net/…/the-devil-came-over-me-1…
No comments:
Post a Comment