Mkuu wa Usalama wa Jimbo la Nasarawa (NSCDC) amemkamata mwalimu wa dini ya Kiislam mwenye umri wa miaka 45 kwa kosa la kubaka mvulana ambaye anadai alikuwa akimfundisha dini huko katika kitongoji cha Lafia.
Imam Shahidu Suleh, ambaye ni Maalim vile vile, amekuwa akimbaka (Almajiri), Okasha Ishaka alisema. Huyo mtoto alisema kuwa, Maalimu alikuwa anambaka kila mara, na alimtishia kumuua, kama angemsema kwenye vyombo vya sheria.
Kwa habari kamili soma : http://www.vanguardngr.com/…/cleric-arrested-sexually-assa…/
No comments:
Post a Comment