Huu ni msiba
((Allah Amemlaani mwanamke anayefanya tatoo (chanjo za kujichora) Na mwenye kuomba kufanyiwa, na anayetoa nyusi na mwenye kuomba kutolewa na anayechonga meno kuweka nafasi (mwanya), kubadilisha maumbile ya Allah kwa ajili ya kupata uzuri)) Al-Bukhariy Imetoka kwa 'Abdullah Ibn Mas'uud (r.a.)
CHA AJABU ALLAH HAKULAANI WANAUME KAMA HUYU KUPAKA HINA KAMA WANAWAKE. HII NI CHUKI KUBWA SANA. AU HUYU NI SHOGA?
No comments:
Post a Comment