Baada ya kuokoka, dada kwenye picha (Jina tunalo) amediriki kusema kuwa Ukristo ni Imani yenye upendo wa kipekee na hakuwai ona upendo wowote ule kwenye dini ya Kiislam zaidi ya chuki.
Hivi sasa familia yake imemtenga na kumtishia kifo kama hato silimu na kurudia Uislam.
HAKIKA YESU NI MUNGU NA ANAWAPENDA WOTE
“Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja” (Mathayo 24:14).
No comments:
Post a Comment