ALLAH AMEKATAA KUITWA YEHOVA KWENYE QURAN
KUMBE ALLAH SIO MWENYEZI MUNGU WA IBRAHIM, ISAKA, YAKOBO, NK.
KUMBE ALLAH SIO MWENYEZI MUNGU WA IBRAHIM, ISAKA, YAKOBO, NK.
Ndugu msomaji,
Wahadhiri wa Dini ya Uislamu hufundisha jamii kwa kutumia Qurani na Biblia na kusema Allah Sub-Hana Wataala ndiye YEHOVA. Fundisho hili wanalieneza kwa kupitia Radio, Vijarida, Mihadhara, vitabu na Kanda (cassettes) za Video na Audio. Na hivyo kuwafanya baadhi ya Wakristo kuacha Imani yao na kuingia katika Dini ya Uislamu. Na baadhi ya Wakristo wengine ingawa hawajabadili dini wanaamini hivyo. Swali la muhimu la kujiuliza kwa kila mkristo, je, ni kweli Allah anaye ogopa kutaja Jina la Yehova kwenye Quran ndiye Yehova kama Biblia inavyotufundisha?
Yehova ni Jina la Mungu ambalo kwa Kiingereza anaitwa Jehovah na kwa Kiebrania anaitwa יהוה (YHVH) na kwa Kiarabu anaitwa ( yahuh ) au ( يهوه ). ngoja niweke kwa urahisi ili wafuasi wa Muhmmad waelewe;

1. Kiebrania = יהוה (YHVH)
2. Kiingereza = Jehovah
3. Kiswahili = Yehova
4. Kiarabu = yahuh ( يهوه )
2. Kiingereza = Jehovah
3. Kiswahili = Yehova
4. Kiarabu = yahuh ( يهوه )
Nimeweka kwa kutenganisha kwa kila lugha kwa sababu moja. Waislam wao wanadanganya eti maana ya Yehova ni Allah, huki ikifaamika kuwa Yehova ni JINA LA MUNGU NA SIO WASIFA.
Katika Sahih hadith tunasoma kuwa:
Katika Sahih hadith tunasoma kuwa:
Ime Hadithiwa na Abu Huraira:
Allah ana majina tisini na tisa, Mia toa moja, na yeyote atakayo amini maana zake na kufanya ya pasavyo, ataingia peponi. Na Mwenyezi Mungu ni witr(Mmoja) na anapenda witiri (idadi isiyo gawanyika kwa mbili ikajitosheleza).(Bukhari 6410)
Allah anakiri kuwa yeye ana majina 99, ona kupitia hii linkhttps://ibadhi.com/vipindi/416-dua-mchanganyiko/6238 NA HAKUNA JINA LA YEHOVA KATIKA HAYO MAJINA 99 YA ALLAH.
SASA TUMSIKILIZE MUNGU WA KWENYE BIBLIA ANAVYO JITAMBULISHA KWA WANADAMU.
SASA TUMSIKILIZE MUNGU WA KWENYE BIBLIA ANAVYO JITAMBULISHA KWA WANADAMU.
Isaya 42:8 Mimi ni Yehova. Hilo ni jina langu; nami sitampa mwingine yeyote utukufu wangu mwenyewe, wala sitazipa sanamu za kuchongwa sifa yangu.
"Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, Mimi ni Yehovah". (Kutoka 6:2).
Kutoka 6: 3 nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.https://www.wordproject.org/bibles/sw/02/6.htm#0
Mwenyezi Mungu ambaye ni Mungu wa Ibrahim, Isaka, Yakobo nk anatuambia kuwa, yeye Jina lake ni Yehova. SASA KWANINI ALLAH ANAKATAA AU OGOPA KUSEMA KUWA YEYE NI YEHOVA KWENYE QURAN?

SASA ANGALIA ALLAH ANAVYO JITAMBULISHA KWA MUHAMMAD:
"Jua ya kwamba hakuna aabudiwaye kwa haki ila Allah..." (Qur’an. 47:19)
"Jua ya kwamba hakuna aabudiwaye kwa haki ila Allah..." (Qur’an. 47:19)
Unaona vituko vinaanza kwa huyu Allah. Allah anaogopa kutamka Jina la yehova?
SASA ANGALIA MUNGU ANAVYO JITAMBULISHA KWA DAUDI:
"Wajue ya kuwa Wewe, uitwaye jina lako Yehovah, ndiwe peke yako Uliye juu, juu ya nchi yote". (Zaburi 83:18)
"Wajue ya kuwa Wewe, uitwaye jina lako Yehovah, ndiwe peke yako Uliye juu, juu ya nchi yote". (Zaburi 83:18)
ANGALIA MUNGU ANAVYO JITAMBULISHA KWA ISAYA:
"Mimi ni YEHOVA, Hilo ndilo jina langu; na utukufu wangu sitampa mwingine, wala sitawapa sanamu sifa zangu". (Isaya 42:8)
Leo nimeweka ushahid wa tafsir kutoka lugha mbali mbali na tumeona kuwa Yehova kwa Kiarabu ni "yahuh ( يهوه )" na hilo Jina halipo kwenye Quran.

Zaidi ya hapo, nimeweka aya kadhaa kuonyesha jinsi Mungu alivyo jitambulisha kwa Manabii wake, na umeona tofauti hapo. Allah anajiita Allah kwa Muhammad, LAKINI MWENYEZI MUNGU alipo ongea na Manabii wake wa KWELI alijiita na kusema kuwa JINA LAKE NI YEHOVA.
SASA, kwanini nimfuate Allah ambaye anapinga Jina la Yehova Mungu wa kweli?
Kwanini Allah aliogopa kuweka Jina la Yehova kwenye Quran?
Nakusihi ufanye utafiti wako mwenyewe na uone kama kuna sehemu yeyote ile Allah amejiita Yehova kwenye, Quran, kama ukikosa aya, basi elewa kuwa ALLAH SIO MUNGU WALA MWENYEZI MUNGU WALA MUNGU WA ADAM, AU IBRAHIM, AU ISAKA, AU YAKOBO AU DAUDI, NK, bali Allah ni Mpinga Mungu.
Nawakaribisha Waislamu wote kwa Mungu wa Kweli anaye itwa YEHOVA.

Mungu awabariki sana.
Ni mimi Dr. Max Shimba, mtumwa wa Yesu Kristo, Mungu Mkuu
For Max Shimba Ministries Org,
MAX SHIMBA MINISTRIES ORG ©2016. ALL RIGHTS RESERVED
Everyone is permitted to copy and distribute verbatim copies of this license document, but changing it is not allowed.
Everyone is permitted to copy and distribute verbatim copies of this license document, but changing it is not allowed.
No comments:
Post a Comment