HATIMAYE ANTI ASU (SHOGA) ABATIZWA SASA AWA KIUMBE KIPYA
Anti Asundilo lilikuwa jina lake kabla ya kuamua kuokoka na kuacha ushoga kijana huyo wa kiislamu hatimaye amebatizwa na sasa amekuwa mkristo safi baada ya kutimiza haki yote ya kubatizwa kwa maji mengi kama hukusoma habari yake ya awali bonya hapa.
Shoga maarufu Dar aokoka, na kuachana na ushoga ni Anti Asu kijana huyo sasa analelewa na mchungaji Dunstan Kanemba katika kanisa la TAG Magomeni Mikumi.
Anti Asu akiwa amevaliswa mavazi ya kupendeza na kujiona ni mwanaume tena hapa alikuwa anatambulishwa na Mch |
Anti Asu akibatizwa na sasa anaitwa Amosi |
Amosi akiwa na wazazi wake waki roho |
Amosi amekuwa kiumbe kipya baada ya kufa na kuzikwa na kufufuka na kristo kwa ubatizo wa maji mengi |
Huyu naye ni kati ya watu waliobatizwa siku hiyo ni Mzee Mbise anafanya kazi katika kampuni ya Dar express |
No comments:
Post a Comment