Friday, January 29, 2016

MTUME MUHAMMAD ASEMA: TUMIENI MAWE MATATU KUJISAFISHA BAADA YA HAJA KUBWA

Ndugu zanguni,
Nikisema hii dini ni Msiba, Waislam wanakuja mbinde ati, nawakashifu. Sasa mimi nifanyeje wakati Mtume wao ndio anaongoza kwa vioja?
Leo Muhammad kasahau kuhusu utumiaji wa maji kama wanavyo dai, na katoa amri kwa Waislam wote kutumia Mawe Matatu baada ya haja kubwa. JAMANI HUU NI MSIBA MKUBWA SANA.
NABII WA ALLAH, AITWAYE MUHAMMAD ANASEMA
Baada ya kujisaidia haja kubwa, usitumie mifupa au kinyesi kujisafisha; Bali utumie mawe kujisafisha mwenyewe ... (Sahih Bukhari, 1.4.157)
Inaonekana kuwa, hawa jamaa walikuwa wanajisafisha kwa kutumia MIFUPA NA KINYESI. Huu ni Msiba, mbona Muhammad kesha sahau amri ya kutumia/kutawaza kwa Maji? Kumbe basi Muhammad na yeye alikuwa anatumia MAWE......
ENDELEA KUPATA USHAHID..................Utakapo maliza kujisaidia, tumia mawe Matatu kujisafisha sehemu zako za siri ... (Sahih Bukhari, 1. 4.162)
Tumia mawe tatu kwa kujisafisha baada ya kujisaidia ... (Sunaan Abu Dawud, 1.0040)
SASA, Nabii wa Allah anasema WATUMIE MAWE MATATU, hakika kuna VIHOJA NA VIROJA KATIKA hii dini ya Jibril.
ENDELEA,
Baada ya kutembelea choo, beba mawe matatu na uyatumie kujisafisha wewe mwenyewe ... (Sunaan Abu Dawud, 1.1.0040)
Baada ya kujisaidia haja kubwa, tumia udongo mara mbili kujisafisha; wala usitumie kinyesi kujisafisha... (Sunaan Nasai, 1.42)
Kama unajisaidia haja kubwa katika jangwa, basi tumia mawe matatu kujisafisha baada ya haja kubwa, hakuna haja ya kutumia maji ... (Sunaan Nasai, 1.44)
HUU NI MSIBA KWA NDUGU ZETU WAISLAMU
SASA, Wakristo ambao wanatumia tissue paper na Waisalm wa Makka wanao tumia MAWE, nani anahafadhali?
NABII WA ALLAH, ANAMALIZA KWA KUSEMA KUWA, MUOMBENI NA JIKINGENI NA ALLAH KABLA YA KUTUMIA CHOO
Amehadithia Zayd bin Arqam : Mtume wa Mwenyezi Mungu ( SAW ) amesema: Msalato/chooni ni nyumba za majini na mashetani . Hivyo wakati yoyote miongoni wewe huenda kutumia choo/msalato , anapaswa kusema: "Mimi najikinga kwa Mwenyezi Mungu kutokana na mapepo ya kiume na wa kike . "Abu Dawud 1:6
Leo tumejifunza kuwa Waislam wameruhusiwa kutumia Mawe baada ya haja kubwa.
Max Shimba Ministries

No comments:

JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD "

 JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD " Author: Dr. Maxwell Shimba  Jesus Declares, “I am the Alap and the Tau” – Under...

TRENDING NOW