Ndugu
zanguni,
Leo
ningependa tujifunze kidogo kuhusu utata na uongo ulio wekwa kwenye Qurana
kuhusu safari ya Mtume wa Allah aitwaye Muhammad ya usikU kwenda Msikiti wa Al
Aqsa ambao upo Jerusalem. Hebu kwanza angalia aya wanayo itumia kusaidia madai
yao.
Sura Al israai 1. SUBHANA, Ametakasika aliye mchukua mja wake usiku
mmoja kutoka Msikiti Mtukufu mpaka Msikiti wa Mbali, ambao tumevibariki vilivyo
uzunguka, ili tumuonyeshe baadhi ya Ishara zetu. Hakika Yeye ni Mwenye kusikia
na Mwenye kuona.
Historia
inatuambia kuwa Jeshi la Waislam liliuchukua Mji wa Jerusalem panapo Mwaka 637
AD na Msikiti wa Al Aqsa ulimalizika kujengwa mwaka 705 AD.
Tatizo
linaanza namna hii: Inafahamika kuwa Muhammad Mtume wa Allah alifariki Mwaka
632 AD tarehe ya 8 na Mwezi wa 6, ambao ni Miaka 5 kabla ya Jeshi la Waislam
kufika Jerusalem na ni miaka 73 kabla huo Msikiti wa Al Aqsa kujengwa. Jamani
huu ni uongo wa wazi kabisa unao semwa kila siku na hawa Waislam kwa kupitia
Allah wao ambaye sasa tunaweza sema kuwa ndie baba wa uongo.
Ndugu
wasomaji, hivi ni kwanini Allah anashindwa kuziweka hesabu zake vyema mpaka
asema uongo wa namna hii?
Kama kweli
Allah alimtuma Muhammad kwenda Jerusalem katika Msikiti wa Al Aqsa, kwanini
alishindwa kuutengeneza huo Msikiti kabla ya kufariki kwa Muhammad?
Hakika kuna
sababu nyingi sana ambazo zilimfanya Allah akiri katika Quran kuwa, Wakristo na
Wayahudi ni watu wa Kita’ab, akimaanisha kuwa ni watu wenye elimu kuliko
Waislam na Waarabu.
Surat Yunus 94. Na ikiwa unayo shaka katika tuliyo kuteremshia, basi
waulize wasomao Kitabu kabla yako. Kwa yakini imekwisha kujia Haki kutoka kwa
Mola wako Mlezi. Basi usiwe miongoni mwa wenye shaka.
MASWALI:
1.
Kwanini Allah alidanganya kuhusu safari ya Mtume Muhammad ya
kwenda Al Aqsa?
2.
Kwanini Waislam wanashindwa kufanya hesabu rahisi za tarehe
ulio jengwa huo Msikiti wa Al Aqsa?
Hakika
Msingi wa Dini ya Uislam ni Allah ambaye amesha pokea sifa ya kuwa ni Baba wa
Uongo. Hebu rejea na soma hii aya kutoka Biblia kitabu cha Mungu:
Yohana 8: 44 Ninyi ni watoto wa baba yenu Ibilisi,
nanyi mnataka kutimiza matakwa ya baba yenu. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo,
wala hakushikana na kweli maana hamna kweli ndani yake. Asemapo uongo husema
yaliyo yake mwenyewe kwa maana yeye ni mwongo na baba wa huo uongo.
Biblia
imesha kujibu kuwa baba wa Uongo ni Ibilisi na husema yaliyo yake mwenyewe.
Kumbe basi, ndio maana Allah wa Waislam nayeye anasema yaliyo yake.
Nakukaribisha
kwa Mungu Mkuu ambaye yeye sio Baba wa Uongo bali ndie Muumba wa kila kitu na
alikufa kwa ajili ya dhambi zako.
Mpokee Yesu
leo na upate Uzima wa Milele.
Mungu
awabariki sana.
Max Shimba
Ministries Org.
Max Shimba Ministries org ©2015. ALL RIGHTS RESERVED
Everyone is
permitted to copy and distribute verbatim copies of this license document, but
changing it is not allowed.
No comments:
Post a Comment