Friday, June 26, 2015

HIVI KWELI HAPA KUNA FUNGA AU NI KUBADILISHA MASAA YA KULA?


1. Waislam wageuza masaa ya kula
2. Waislam sasa wanakula mpaka kuvimbiwa
3. Huku sasa sio kufunga bali ni uroho wa chakula
Hivi mtu anapokula usiku kucha na kuto kula mchana, je huko ndio kufunga?
أُحِلَّ لَكُمْ لَيْلَةَ الصِّيَامِ الرَّفَثُ إِلَى نِسَآئِكُمْ هُنَّ لِبَاسٌ لَّكُمْ وَأَنتُمْ لِبَاسٌ لَّهُنَّ عَلِمَ اللّهُ أَنَّكُمْ كُنتُمْ تَخْتانُونَ أَنفُسَكُمْ فَتَابَ عَلَيْكُمْ وَعَفَا عَنكُمْ فَالآنَ بَاشِرُوهُنَّ وَابْتَغُواْ مَا كَتَبَ اللّهُ لَكُمْ وَكُلُواْ وَاشْرَبُواْ حَتَّى يَتَبَيَّنَ لَكُمُ الْخَيْطُ الأَبْيَضُ مِنَ الْخَيْطِ الأَسْوَدِ مِنَ الْفَجْرِ ثُمَّ أَتِمُّواْ الصِّيَامَ إِلَى الَّليْلِ وَلاَ تُبَاشِرُوهُنَّ وَأَنتُمْ عَاكِفُونَ فِي الْمَسَاجِدِ تِلْكَ حُدُودُ اللّهِ فَلاَ تَقْرَبُوهَا كَذَلِكَ يُبَيِّنُ اللّهُ آيَاتِهِ لِلنَّاسِ لَعَلَّهُمْ يَتَّقُون
َ
187. Mmehalalishiwa usiku wa kuamkia saumu kuingiliana na wake zenu. Wao ni nguo kwenu na nyinyi ni nguo kwao. Mwenyezi Mungu amekwisha jua ya kwamba mlikuwa mkijihini nafsi zenu, kwa hiyo amewakubalieni (toba yenu) na kuwasameheni. Basi sasa laleni nao na takeni aliyowaandikieni Mwenyeezi Mungu. Na kuleni na kunyweni mpaka ubainike kwenu uzi mweupe katika uzi mweusi wa alfajiri, kisha timizeni saumu mpaka usiku. Wala msilale nao na hali mnakaa (itikafu) Misikitini, hiyo ndiyo mipaka ya Mwenyeezi Mungu, basi msiikaribie. Hivyo ndivyo Mwenyeezi Mungu anavyobainisha dalili zake kwa watu ili wapate kumcha.
Hapa kuna mambo ya kufurahisha katika hii aya, Usiku umekuwa mchana, na mchana umekuwa usiku... waislamu husema wanafunga siku 30 au 29, lakini hapa kuna siku 14-15 Maana funga yao inahesabiwa Alfajiri mpaka jioni, masaa 12 hayo ndo hawatikiwi kula cho chote, wala kufanya mapenzi na wake zao mchana wa saumu.
Lakini Usiku kucha ruksa kujiachia:- hapo kuna maanisha kwamba Usiku saumu hakuna... ndiyo maana harusi za kiislamu huwa nyingi sana ukaribiapo mwezi wa ramadhani, kwa sababu waislamu niwatumwa wa ngono, hawawezi kuvumilia kukaa mwezi mzima bila kufanya mapenzi... ndiyo maana wakapewa idhini ya kuoa wanawake wanne kwa sababu nyege zao zipo karibu (samahanini kwa neno hilo) kwa hivyo hawana uwezo wa kukaa muda mrefu bila kujamiiana.
Hata wakati wamepewa sheria ya kufunga, Mwanzoni hawakuruhusiwa kukutana kingono na wake zao, Wakawa wanazihini nafsi zao, Allah akawaonea huruma maana aliona hawa watu wake ni watumwa wa ngono
akaamua usiku washughulike ila kukipambazuka waache.. (Hapo hakuna kiasi) cheza uwezavyo fidia mpaka za mchana.
Kwenye KULA:- hapa sasa ndo kunafurahisha, Matajiri na wenye uwezo wa kati ambao wanajimudu, hawa hawawezi kulalamika saumu kali kwa sababu wana uwezo kuanzia muda ambao wanafuturu ni ruksa kula kadiri watakavyo mpaka uwabainikie uzi mweupe katika uzi mweusi wa Alfajiri. hebu fikiria mtu ameweka lundo la msosi.

Ugali
Wali
Pilau
Makande
Viazi
Nyama choma
Chipsi kuku
Mishikaki
Supu ya mawe
Supu ya ng'ombe
Supu ya pweza
Sambusa
Ndizi
Mkate
Kababu
Kachori
Vitumbua
Skonzi
Chapati
Baga
Piza
Soseji
Magimbi
Tambi
Samaki
Dagaa
Mchicha
Tembele
MATUNDA NAYO:-
Maembe
Machungwa
Mafenesi
Mapeazi
Matango
Nanasi
Papai
Ndizi mbivu
Sungwi
Makomamanga
Mapela
Kaloti
Zabibu
Apple
Stafeli
Zambarau
Parachichi
Tende
Mtu amevishindilia vitu hivyo, amevimbiwa, haishi kujamba kila wakati, anaweza kusema saumu kali? KUNA FUNGA HAPO?
Wale wenzangu mimi ambao hunywa uji na wali kidogo kwa ajili ya daku hao ndo utawasikia wanalalama kuhusu ukali wa saumu.

No comments:

JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD "

 JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD " Author: Dr. Maxwell Shimba  Jesus Declares, “I am the Alap and the Tau” – Under...

TRENDING NOW