Yesu huku akitumia mfano wa self centered ungodly rich man (in Luke 16). The Rich man died, na Biblia inatuambia kuwa alipokuwa Hell yule mtu alifanya haya “and in hell he lifted up his eyes, being in torments” (Luke 16:23). Hili neno na au Jina “hell” is “Hades,” ambalo limetumika mara nyingi katika Agano Jipya likielezea wapi watakuwa na au enda watu ambao hawakumpokea Yesu immediately upon death.
Sasa basi, Neno la Kigiriki linalo maanisha “hell” as a final destiny/kama sehemu ya MWISHO ya Binadamu ni tofauti kabisa, nikimaanisha kuwa, hapa walipo huyu Rich Man was not a final destiny. Nitakuonyesha hapa wapi ni sehemu ya mwisho ya hawa ambao hawakumpokea Yesu. Biblia inatumabia kuwa Jehannam ndio itakuwa Sehemu ya Mwisho ya Watenda dhambi ambayo Yesu alitumia hili jina ambalo ilikuwa ni sehemu halisi wakati ule iliyo julikana kama “gehenna” iliyopo katika Valley of Hinnom, sehemu ambayo walikuwa wanatupa takataka na kuzichoma pale kusini mwa Jerusalemu. Hii sehemu ilikuwa sehemu ambayo wild dogs gnashed their teeth as they fought over the garbage of the dump. Sasa basi, "Gehenna" na au Jehannam ndio final place of punishment/ziwa la moto; IN CONTRAST, Hell na au kwa jina lingine "Hades" ni intermediate place/sehemu unayo ingia punde baada ya kifo.
Ngoja niendelee kidogo, Katika Luka 16, Yesu anasema kuwa roho za watenda dhambi zitaingia na ua kwenda “Hades/Hell” after death, lakini katika Matayo 10:28 Yesu anazungumzia kuhusu hell also. Pale anasema kuwa zote mbili Roho na Mwili "soul and body" zitatupwa “gehenna” na au Jehannam baada ya kufufuka tena na baada ya hukumu ya MWISHO. In Matthew 10 Jesus is talking about final judgment, LAKINIA KATIKA LUKA 16 Yesu anazungumzia kuhusu nini kitatokea immediately after death.
Kama nilivyo sema kwenye posti yangu ya awali kuwa, Hades/Hell ni sawa na Keko ya Kitanzania (a temporary prison), until the sentence is determined. Lakini (gehenna na au Jehannam) ndio UKONGA yenyewe ambayo unakwenda pale tu, baada ya kupewa hukumu ya mwisho.
Nita weka posti nyingine ambayo inazungumzia wapi wataenda walio Mpokea Yesu.
Mungu Awabariki sana,
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD "
JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD " Author: Dr. Maxwell Shimba Jesus Declares, “I am the Alap and the Tau” – Under...
TRENDING NOW
-
Baba umenipa funguo muhimu katika Mathayo 16:19 za kufunga na kufungua. Ninatumia funguo hizo kufunga na kufungua, kuvunja na kubamiza kil...
-
Kuna watu wanapitia mateso mengi sana, wengine wamefungwa katika vifungo bila wao kujijuwa basi chukua muongozo huu utakusaidia au itasaid...
-
Adui anakuja kuiba, kuua na kuharibu kila kitu chetu, ni lazima kuwa tayari kupambana na maadui, tujue silaha zetu, na kutumia neno la Mun...
-
Twakusalimu kwa mara ingine katika jina tukufu na takatifu la Yesu Kristo Bwana wetu. Twazidi pia kukushukuru kwa ajili ...
No comments:
Post a Comment