Wiki hii nimeulizwa mara kadhaa na watumishi wa Mungu, kuhusu hili neno "Pneuma" NA NINI HASA LINA MAANISHA?
Sasa nitatumia Exhaustive Concordance of the Bible kujibu swali la "Pneuma" ambalo limeulizwa mara kadhaa hapa.
Pneuma is a consolidation of two words "Pneo + ma = Pneuma.
Maana ya neno "Pneo" aka "pnyoo" = 4154 and 4157 means breeze or respiration which can mean breath or wind.
Maana ya neno "Mah" is an expressive of Master which means one who has control of a person, or Master. Hii ipo kwenye STRONG Number 2962.
Now the complete word "Pneuma=4151" or "Pneumatikos=4153"
Sasa nitaanza na Number 4153 which is the adverb of 4152 ikimaanisha (1) non physical i.e divinely, figuratively:- spiritually.
Sasa ukiangalia number 4152 which comes after 4151 inamaanisha (1) non-carnal i.e (humanly) ethereal (as opposed to gross) or (demonically) a spirit(concr) or (divinely) supernatural, regenerate, religious :- spiritual. Comp 5591.
Finally pneuma ambayo ni number 4151 inamaanisha (1) a current of air, i.e breath (blast) or (2) a breeze; by a fig. or (3) a spirit, i.e human aka the rational soul, (by impl) vital principle, ment, disposition, etc. (4) Superhuman) an angel, demon or (divine) God, Christ's spirit, Holy Spirit :- ghost, life, spirit(-ual, ually), mind. Comp ipo kwenye number 5590.
NOW, argument ya breath inaweza kujibiwa hivi:
Kwanza tusome Acts 2:2 Suddenly a sound like that of a violent rushing wind came from heaven, and it filled the whole house where they were staying.
What exactly happened here. Tumesoma mara nyingi kuwa Siku hii ya Pentekoste ndipo watu walijazwa na Roho Mtakatifu.
Kumbe basi, expression ya Holy Spirit imesemwa kama rushing wind lakini haimaniishi kuwa Holy Spirit ni Wind or Rushing wind. But that was the expression of His Presence. Ndio maana kwenye pneuma wanasema "current of air" ikimaanisha expression of that which is invisible, the spirit of a person kama ilivyo semwa kwenye Zachariah 12: 1.
Pneuma
The KJV New Testament Greek Lexicon
Greek lexicon based on Thayer's and Smith's Bible Dictionary plus others; this is keyed to the large Kittel and the "Theological Dictionary of the New Testament." These files are public domain.
Source: New Testament Greek Lexicon- King James Version
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD "
JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD " Author: Dr. Maxwell Shimba Jesus Declares, “I am the Alap and the Tau” – Under...
TRENDING NOW
-
Baba umenipa funguo muhimu katika Mathayo 16:19 za kufunga na kufungua. Ninatumia funguo hizo kufunga na kufungua, kuvunja na kubamiza kil...
-
Kuna watu wanapitia mateso mengi sana, wengine wamefungwa katika vifungo bila wao kujijuwa basi chukua muongozo huu utakusaidia au itasaid...
-
Adui anakuja kuiba, kuua na kuharibu kila kitu chetu, ni lazima kuwa tayari kupambana na maadui, tujue silaha zetu, na kutumia neno la Mun...
-
Twakusalimu kwa mara ingine katika jina tukufu na takatifu la Yesu Kristo Bwana wetu. Twazidi pia kukushukuru kwa ajili ...
No comments:
Post a Comment