Saturday, April 26, 2014

UTATA WA ALLAH KATIKA KUSAMEHE WATU DHAMBI

Je, Allah anao uwezo wa Kusamehe watu dhambi?
Ndugu zanguni,
Leo ningependa tumuangalie Allah wa dini ya Uislam ambaye wanasema ndie Mungu wao. Je, huyu Allah anayo mamlaka ya kusamehe dhambi zote?
Ungana nami katika some letu la leo na tuone utata mkubwa sana uliopo ndani ya dini ya Uislam.
Tuanze na Surat Azzumar aya 53 na 54 ambazo zinadai na kusema kuwa, Allah anasamehe dhambi zote, hebu tusome kwanza:
Surat Azzumar 53. Sema: Enyi waja wangu walio jidhulumu nafsi zao! Msikate tamaa na rehema ya Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu husamehe dhambi zote. Hakika Yeye ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu. 54. Na rejeeni kwa Mola wenu Mlezi, na silimuni kwake, kabla ya kukujieni adhabu. Kisha hapo hamtanusuriwa.
Katika aya hizo hapo juu, tumesoma kuwa Allah anasamehe dhambi zote na labda tukubaliane naye kwasasa kwa ajili ya kujifunza Utata na Mashaka yalio ndani ya kitaa'b cha Allah.
SASA TUANAGALIE VIFUNGU VINGINE AMBAVYO ALLAH ANASEMA KUWA, HANA UWEZO WA KUSAMEHE DHAMBI
Sasa rejea katika Surat Al I'mran: 86.Mwenyezi Mungu atawaongoaje watu walio kufuru baada ya kuamini kwao, na wakashuhudia ya kuwa Mtume huyu ni wa haki, na zikawafikia hoja zilizo wazi? Mwenyezi Mungu hawaongoi watu madhaalimu. 87. Hao malipo yao ni kuwa ipo juu yao laana ya Mwenyezi Mungu na ya Malaika na ya watu wote. 88. Humo watadumu. Hawatapunguziwa adhabu wala hawatapewa nafasi. 89. Isipo kuwa wale walio tubu baada ya hayo na wakatengenea; kwani Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe na Mwenye kurehemu. 90. Hakika wale walio kufuru baada ya kuamini kwao, kisha wakazidi kukufuru, toba yao haitakubaliwa, na hao ndio walio potea. 91. Hakika wale walio kufuru, na wakafa hali ni makafiri haitakubaliwa kutoka kwa yeyote wao fidia ya dhahabu ya kujaza dunia nzima lau wangeli itoa. Hao watapata adhabu chungu, wala hawatakuwa na wa kuwanusuru.
Kifungu cha hapo juu kinatoa habari inayo changanya na kuweka shaka kubwa sana: Swali la kwanza nauliza kwa kejeli, "Je, Allah atawaongoaje watu ambao ..." na alisema jibu kwamba Allah hawaongoi watu hao. Kinyume chake ni kwamba, kwa mujibu wa aya hizi laana ya Allah itakaa kwa wale walio amini, ambao walikuwa Waislamu, lakini baadae waligeuka na kufuata imani zingine. Na Allah anasema kuwa wao waliongezwa na watakuwa huko kwenye laana na hata waongoa "kukaa humo," "makao yao ni humo milele" (mstari 88), ambayo kulingana na baadhi ya wafasiri wa Kiislamu inahusu makafiri na Waislam walio mpokea Yesu kuwa watadumu katika Jahannamu :
Hebu tusome tafsir nyingine ya Surat Al I'mran 88. Laana hiyo haitowabanduka, wala hawatapunguziwa adhabu, wala hawapewi muhula.
Hii aya inatuambia kuwa, hao Makafir hata wakiomba msamaha na kuamua kumfuata Allah, yeye hato wasamehe maana Allah alisha fanya maamuzi kuwa Makafir hata wakubali kumfuata Allah hato wasamehe. Lakini Waislam wao wana nafasi nyingine maana laana kwao inaweza kuwabanduka na Allah atawapunguzia adhabu na muhula wao wa kukaa Jehannam utatolewa.

SASA TUNAPO ENDELEA KUSOMA AYA YA 89 Allah anasema kuwa wale ambao waligeuka na kuwa Makafir wanaweza kusamehewa. Rejea Surat Al I'mran 89. Isipo kuwa wale walio tubu baada ya hayo na wakatengenea; kwani Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe na Mwenye kurehemu. HAPA Allah anaanza kizungumkuti, maana teyari amesha jichanganya katika aya ya 88 ambayo anasema kamwe watu hao hato wasamehe lakini kwenye aya ya 89, Allah kabadilika na kusema "wakitubu atawsamehe". Je, inawezekana kuwa wakati Allah anateremsha hizi aya alikuwa anahasira na kujisahau nini anasema? Au ndio ile tabia yake ya kuleta UTATA katika Kitaa'b chake chenye shaka kubwa kubwa?
SASA ANAGALIA JINSI AMBAVYO ALLAH ANASEMA KUWA, YEYE HUSAMEHE WALE AMBAO WALIFANYA MAKOSA KWA UJINGA.
Katika Surat An Nisaai 17. Hakika toba inayo kubaliwa na Mwenyezi Mungu ni ya wale wafanyao uovu kwa ujinga, kisha wakatubia kwa haraka. Hao ndio Mwenyezi Mungu huwakubalia toba yao, na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi na ni Mwenye hikima. 18. Wala hawana toba wale wafanyao maovu mpaka yakamfikia mmoja wao mauti, kisha hapo akasema: Hakika mimi sasa nimetubia. Wala wale wanao kufa na hali wao ni makafiri. Hao tumewaandalia adhabu chungu.
HUU NI MSIBA KWA WAISLAM, maana Allah anasema kuwa, yeye husamehe wale ambao wamefanya uovu kwa Ujinga -aya 17. Ndugu zanguni, hivi kuna Muislam atapona hapa, maana wengi wa Waislam wanafanya makosa huku wakifahamu, lakini Allah anasema kuwa hao hato wasamehe kutoka na Surat An Nisaai 17.
Allah anaendelea kusema, kuwa Waislam amaboa walifanya dhambi mpaka mauti ikawafikia aya 18, wao hato wasamehe, cha ajabu ni kuwa, Ndugu zetu huwa wanaswalia MAITI na kuisafisha eti Allah akija usiku kukutembelea basi utaomba Msamaha na labda kusema shahada na uingie Akhera na au Peponi ya Allah. Leo Allah anawakana kuwa hato wasamehe hata mkisha kamuliwa ngama na kuzikwa. HUU NDIO MSIBA UNAPO INGIA KWA NDUGU ZETU AMBAO WALIFIKIRIA KUWA LABDA WAKATI WA UMAUTI Allah bado anaweza kuwasamehe.
ALLAH HANA UWEZO WA KUSAMEHE DHAMBI WAISLAM WALIO KUFA
Quran inaendelea kusema kuwa wale walio kuwa katika Umauti kamwe Allah hana uwezo wa kuwasamehe dhambi, ingawa WAISLAM bado wana utamaduni wa kuombea Maiti msamaha ili Allah aipokee roho ya marehemu.
Suratul Muuminum 101. Basi litapo pulizwa baragumu hapo hautakuwapo ujamaa baina yao siku hiyo, wala hawataulizana. ***102. Ama wale ambao mizani zao zitakuwa nzito, hao ndio wenye kufanikiwa. ***103. Na wale ambao mizani zao zitakuwa nyepesi, hao ndio walio zitia khasarani nafsi zao, na katika Jahannamu watadumu. ***104. Moto utababua nyuso zao, nao watakuwa na nyuso zilizo kunjana. ***105. Je! Hazikuwa Aya zangu mkisomewa, na nyinyi mkizikanusha? ***106. Mola wetu Mlezi! Tulizidiwa na uovu wetu na tukawa watu tulio potea. ***107. Mola wetu Mlezi! Tutoe humu Motoni. Na tufanyapo tena basi kweli sisi ni wenye kudhulumu. 108. Atasema Mwenyezi Mungu: Tokomeeni humo, wala msinisemeze. 109. Bila ya shaka lilikuwapo kundi katika waja wangu likisema: Mola wetu Mlezi! Tumeamini; basi tusamehe na uturehemu, nawe ndiwe Mbora wa wanao rehemu. ***110. Lakini nyinyi mliwakejeli hata wakakusahaulisheni kunikumbuka, na mlikuwa mkiwacheka. ***111. Hakika Mimi leo nimewalipa kwa vile walivyo subiri. Bila ya shaka hao ndio wenye kufuzu. 112. Atasema: Mlikaa muda gani katika ardhi kwa hisabu ya miaka? 113. Watasema: Tulikaa siku moja au sehemu ya siku. Basi waulize wanao weka hisabu. ***114. Atasema: Nyinyi hamkukaa huko duniani ila kidogo, laiti ingeli kuwa mnajua. ***115. Je! Mlidhani ya kwamba tulikuumbeni bure na ya kwamba nyinyi kwetu hamtarudishwa? ***
Katika hii suratul Muuminum tunasoma kuwa hawa ni Waislam walio zidiwa na dhanb, Allah atawakana na hato wasamehe ingawa ndugu zao waliwafanyia maombi wakati wa umauti na kuwasafisha ngama. Allah yeye anasema hato wasamehe hawa Waislam. Ushaidi mwingine unawza upata hapa S. 35:36-37, S. 40:10-12 , S. 43:74-77, S. 67:6-11, S. 4:93
ALLAH HASAMEI MUISLAM ANAPO UA MUISLAM MWENZAKE: MFANO KAMA ULE WA SUNNI WANAPO UANA NA SHIA.
Allah anaendelea kusema kuwa Muislam akimuua Muislam mwenzake, Allah kamwe hato msamehe dhambi yule aliye uwa: Surat An Nisaai 93. Na mwenye kumuuwa Muumini kwa kukusudia, basi malipo yake ni Jahannamu humo atadumu, na Mwenyezi Mungu amemkasirikia, na amemlaani, na amemuandalia adhabu kubwa.
Ushaidi upo mwingi sana wa Waislam kuuwa Waislam wenzao, hasa kwa kujilipua na kupigana kwenye nchi zai. Soma habari za niddle east kwa ushaidi zaidi. Je, hawa Sunni wanapo Pigana na Shia na kutoana Roho wote wataishia wapi? Allah kesha sema kuwa HAO WOTE WATATUPWA JEHANNAM na kamwe Allah hato wasamehe dhambi. Rejea Surat An Nisaai 93. Labda ndio maana Allah alisema kuwa Waislam wote kuingia Jehannam. Quran 40: 60. Na Mola wenu Mlezi anasema: Niombeni nitakuitikieni. Kwa hakika wale ambao wanajivuna na kuniabudu Mimi wataingia Jahannamu wadhalilike.
Ndugu zanguni, Allah kamaliza kwenye Sura 40 aya 60 kuwa wale wote wanao jivunia Uislam wataingia Jehannam, Jem kuna Muislam atapona hapo? Kumbe ndio maana Allah ameonyesha kigeugeu katika kusamehe dhambi kwasababu alisha weka amri kuwa Waislam wote wataingia Motoni.
Kumbe ndio maana na Allah ataingia Motoni. Sasa tusome Sahih Hadith: Bukhari :: Kitabu 6 :: Juzuu 60 :: Hadith 371 Amehadithia Anas: Mtume wa Allah alisema, "watu watatupwa (Kuzimu) Jehannam na matokeo yake Jehannam itasema:" Je, kuna zaidi watu zaidi? (50.30) mpaka Allah atakapo weka mguu wake juu ya Kuzimu na Jehannam itasema, 'Qati! Qati! (Imetosha imetosha!) " Ushaidi zaidi: Bukhari :: Kitabu 9 :: Juzuu 93 :: Hadith 481, Bukhari :: Kitabu 6 :: Juzuu 60 :: Hadith 373
Sasa tumefahamu siri kubwa hapa. Kumbe na Allah ataingia motoni. Jamani, hivi huu si ndio Msiba mkubwa sna kwa dini ya Muhammad? Allah nayeye anaingia motoni.
Katika Biblia tunasoma kuwa Shetani na yeye ataingi mtoni, tena atakuwa wa Mwisho kama Allah alivyo kuwa wa Mwsiho pale Jehannam ilipo itisha watu zaidi. Sasa rejea kwenye Biblia: Ufunuo 20:10 Na yule Ibilisi, mwenye kuwadanganya, akatupwa katika ziwa la moto na kiberiti, alimo yule mnyama na yule nabii wa uongo. Nao watateswa mchana na usiku hata milele na milele. HAPO TUNASOMA KUWA IBILISI anaingia Motoni na kuwakuta wenzake humo, kama ambavyo Sahih Bukhari imesema kuwa Allah anaingia Jehannam na kuwakuta watu huko.
Ndugu Wasomaji, Allah hana uwezo wa kusamehe dhambi na zaidi ya hapo Allah hana uwezo wa kukwepa Jehannam.
Nawakaribisha watu wote kwa Yesu Kristo aliye hai. Luka 7: 48 Kisha alimwambia mwanamke, Umesamehewa dhambi zako. Hapa tunasoma kuwa Yesu anasamehe watu dhambi ambayo ni adhama ya Mungu.
Biblia inaendelea kusema kuwa Yesu anayo amri ya kusamehe dhambi hapa duniani: Soma ushaidi: Marko 2: 10 Lakini mpate kujua ya kwamba Mwana wa Adamu anayo amri duniani ya kusamehe dhambi, (hapo amwambia yule mwenye kupooza),
NAMALIZA KWA KUSEMA:
Warumi 10: 9 Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.
Je, ungependa kuokoka na kuwa na uhakikisho wa kwenda Mbinguni? Kiri kwa kinywa chako kuwa Yesu ni Bwana na amini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua Yesu katika wafu, leo hii utakuwa umeokoka.
Mungu awabariki sana,
Katika huduma yake,
Max Shimba
Max Shimba Ministries Org
1633 Broadway, 30th Floor, New York, NY 10019

No comments:

JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD "

 JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD " Author: Dr. Maxwell Shimba  Jesus Declares, “I am the Alap and the Tau” – Under...

TRENDING NOW