Sunday, January 19, 2014
UDHAIFU WA ALLAH NA SABABU ZINAZO MFANYA ALLAH KUTO KUWA AKBAR.
Ndugu Wasomaji,
Katika somo letu la leo, ningependa tusoma mambo kadhaa ambayo Allah wa Uislam hana uwezo na mamlaka juu yake.
Waislam wanatuambia kuwa Uislam ni dini ya Allah ambaye hana uwezo wa kufanya yafuatayo:
Allah hana uwezo wa kuishi ndani ya binadamu.
Allah hana uwezo wa kuzungumza na kusikia lugha yeyote ile zaidi ya Kiarabu.
Allah hasikii na hajibu maombi ambayo hayakuombwa Kiarabu.
Allah hawezi kusikia maombi ambayo yanaombwa bila ya kuangalia Makkah.
Allah hana uwezo wa kumzuia Shetani kuishi ndani ya Pua yako wakati umelala.
Allah hana uwezo wa kumkataza Shetani asikojoe kwenye masikio yako unapo pitiwa na usingizi.
Allah hana uwezo wa kutetea vitabu vyake, ingawa alidai anaweza.
Allah hawezi kusikia maombi yako kama kuna Mwanamke au Mbwa au Punda karibu na sehemu unayo fanyia maombi.
Allah hawezi kutetea dini yake ya Kiislam na anahitaji msaada wa Waislam kuua na kutesa wale wote ambao wanaukataa Uislam. Allah sio Akbar kama anavyo dai.
Allah hapendi watu isipokuwa wale ambao ni Watumwa wake.
Allah hana uwezo wa kutetea Mitume wake kutoka kwa Wanawake Wajane wa Kiyahudi.
Allah hana uwezo wa kuwatetea na kuwalinda Waislam kutoka kwa Mtume mwenye Nguvu kama Paulo ambaye Waislam wanadai kuwa, Ndie Mwanzilishi wa Imani ya Kikristo ambayo ni kubwa kuliko Uislamu.
Allah hana uwezo wa kuwaokoa wanawake kutoka Jehannam, kwasababu eti wao ni viumbe dhaifu.
Allah hana uwezo wa kufanya miujiza kupitia waonyaji kama Muhammad ambaye alidai katumwa na Mwenyezi Mungu, jambo ambalo lingesaidia kutupa uhakikisho kuwa Muhammad alitumwa na Allah, kwasababu ya maovu mengi aliyo fanya ambayo ni kinyume na mambo yaliyo fanywa na Mitume walio kuja kabla yake.
Ndugu zanguni, listi ya mambo ambayo Allah hana uwezo wa kufanya ni mengi sana kiasi cha kujaza karatasi nyingi, leo nimeona niweke haya machahe kuhusu huyu Allah wa Uislam.
Allah hana uwezo wa kuwa na Mwana bila ya kuwa na Mke.
Sasa ngoja niulize?
Kuna sababu gani hapa duniani Mtu amwamini huyu Allah aliyejaa mapungufu na udhaifu, na kuacha kumwamimi Yahaweh aliyejaa hekima na mamlaka yote?
Mimi nitamfuata Yesu, Mungu Mtukufu YHWH, kwasabau katika Yesu hakuna lisilo wezekana (Luka 1:37)
Katika huduma yake,
Max Shimba Ministries 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD "
JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD " Author: Dr. Maxwell Shimba Jesus Declares, “I am the Alap and the Tau” – Under...
TRENDING NOW
-
Baba umenipa funguo muhimu katika Mathayo 16:19 za kufunga na kufungua. Ninatumia funguo hizo kufunga na kufungua, kuvunja na kubamiza kil...
-
Kuna watu wanapitia mateso mengi sana, wengine wamefungwa katika vifungo bila wao kujijuwa basi chukua muongozo huu utakusaidia au itasaid...
-
Adui anakuja kuiba, kuua na kuharibu kila kitu chetu, ni lazima kuwa tayari kupambana na maadui, tujue silaha zetu, na kutumia neno la Mun...
-
Twakusalimu kwa mara ingine katika jina tukufu na takatifu la Yesu Kristo Bwana wetu. Twazidi pia kukushukuru kwa ajili ...
No comments:
Post a Comment