Ikiwa ni siku ya tatu ya mkutano wa Ufufuo na Uzima mjini Morogoro maelfu ya watu waliendelea kuhudhuria huku uweza wa Mungu wa namn aya ajabu ukiendelea kudhihirishwa kupitia mchungaji Josephat Gwajima
Mchungaji Josephat Gwajima alifundisha somo la NYOTA YAKO INATUMIWA NA
MTU. Akifundisha alisema kila mtu anayo nyota katika maisha yake au
kipawa ambacho Mungu ameweka ndani yake ili kupitia hiyo aweze
kufanikiwa
Lakini wachawi na waganga wa kienyeji wanakua na uwezo wa kuichukua nyota ya mtu na kuitumia kwaajili ya kazi zao binafsi, akielezea mtu aliyechukuliwa nyota ana dalili zipi, mchungaji Josephat Gwajima alisema unakuta kwa mfano mtoto alikua ana akili darasani lakini baada ya kuchukuliwa nyota yake unakuta ule uwezo wote unaondoka na anakua hawezi tena kufanya vile vitu alivyokua anafanya mwanzoni.
Baada ya kufundisha mchungaji Josephat gwajima alianza kuomba maombi ya kuwarudishia watu nyota zao na baada ya hapo aliwarudisha wale waliokua wamechukuliwa msukule.
Bali wote waliompokea(YESU KRISTO) aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa MUNGU, ndio wale waliaminio jina lake; -Yohana 1:12

Jina :Esther Anatory
Anaishi Modeko alichukuliwa shimoni na kazi yake ilikua
kunyonyesha watoto baharini alisikia sauti inamuita njoo akajikuta yuko
mkutanoni
|
Latifa Jane
Alichukuliwa akakaa polini na alikua analimishwa na wachawi
chakula chake ilikua pumba na damu za watu alisikikia anaitwa njoo akajikuta
yuko mkutanoni na ameacha watu wengi huko
|
Ashura Mohamed
Alichukuliwa akakaa pangoni na alisikia sauti inamuita njoo
akajikuta yuko mkutanoni anaishi kirakala
|
Bali wote waliompokea(YESU KRISTO) aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa MUNGU, ndio wale waliaminio jina lake; -Yohana 1:12
No comments:
Post a Comment