Friday, October 25, 2013
KWA NINI WAKRISTO HAWAUTAKI UISLAMU?
Waislamu wamekuwa mahodari sana kutushawishi Wakisto tuufuate uislamu, wakidai kuwa ndiyo imani sahihi, wapo baadhi ya Wakristo walioamua kuufuata uislamu, kwa sababu ya kazi, kuoa, kudangaywa, na wengine wameingia kwenye uislamu kwa kuwa hawaujui vizuri, sasa sisi ambao tumeusoma Uislamu, tumezinduka tunagoma kuingia kwenye uislamu kwa sababu hizi zifuatazo.
(1) SHETANI NI MUSLAMU
Ni bahati mbaya kwamba Adamu Hawa hawakufanikiwa kufanya jitihada za kumwezesha shetani na wanae kuuomba msamaha kwa mwenyezi Mungu na kuwa Waislamu, ni mtume Muhammad tu ndiye aliyemsilimisha shetani akawa muislamu… (KITABU CHA ASILI YA MAJINI UK 20)
Sasa Ikiwa shetani ni muislamu, na sisi tunajua kuwa shetani yeye ndiye adui yetu namba moja ambaye sisi hatupaswi kushirikiana nae,
Yakobo 4:7 Basi mtiini Mungu. Mpingeni shetani, nae atawakimbia.
Sasa iweje tena tumfuate shetani katika uislamu? Kwa kuwa shetani ambaye aliwadanganya Adamu na Hawa ni muislamu,sisi Wakristo tunaojitambua hatuutaki Uislamu.
(2) UKIWA MUISLAMU MATAKO TAKO YANAKUWA NI SEHEMU YA SHETANI KUJIBURUDISHA KWA MICHEZO YAKE.
Kasema Mtume (s.a.w) “Anamwijia mmoja wenu shetani katika sala, basi anapuliza (anampuliza) katika matako yake, basi yule mtu inamwijia fikiria ya kuwa umemtoka upepo (kajamba) nae haukumtoka, basi akiona hali hiyo asiondoke kwenye sala mpaka asikie sauti ya kumtoka huo upepo au anuse harufu yake”. (KITABU CHA MKWELI MWAMIU, JUZUU YA 1 -2 HADITHI NA. 74, UK 42)
Sasa hiyo adha ya kupulizwa matako na shetani kwa kila unaposali nani anaitaka? Yaani kila ukienda kusali basi shetani yeye yupo matakoni tu, najiuliza hivi shetani ambaye ni muislamu hakuona sehemu nyingine mpaka akomae na matako tu? Kina mama Wa Kiislamu zindukeni, maana Wanaume wao wameshazoea, ndiyo maana hawataki ninyi mwende msikitini ili mpulizwe pamoja nao, hivyo sisi Waristo tunaojitambua, kwa tendo hilo la kupulizwa matakoni na shetani hatuutaki uislamu.
(3) UKIWA MUISLAMU BASI WEWE PUA YAKO INAKUWA KITANDA CHA SHETANI
Amesimulia Abu Huraira (r.a) Mtume (s.a.w) alisema “Mmoja wenu anapoamka kutoka usingizini, basa atawadhe na apandishe maji puani, na apenge mara tatu, kwa sababu shetani alilala ndani ya tundu za pua yake” (Bukhari, Hadithi na. 516, juzuu ya 4)
Hivi ni Mkristo gani mwenye kujitambua ambaye yupo tayari kuwa muislamu, ili pua yake ikawe godoro la shetani? Bila shaka hakuna, hivyo sisi Wakristo tunaojitamua hatuutaki uislamu.
(4) KWENYE UISLAMU NI RUKSA KUOA VITOTO VYAMIAKA SITA NA KUVIINGILIA VIKIWA NA MIAKA TISA, Hadithi ya Aisha (r.a) amesema, Mtume (s.a.w) amenioa nikiwa binti wa miaka sita, tukaja Madina tukafikia kwa Ban Al-Harith Khazraji nikapatwa na homa kali sana mpaka nywele zangu zikakatika katika baadae zikaja kuwa nyingi, Akanijia mama yangu Ummu Ruuman, akanikuta niko katika pembeya nikiwa na rafiki zangu, akaniita kwa sauti ya ukali, nikamwendea hata nisijue anachoniitia akanishika mkono mpaka akanifikisha mlangoni huku nina hema mpaka zilipotulia pumzi zangu akachukua maji akaanza kunifuta kwa maji hayo uso wangu na kichwa changu kisha akaniingiza ndani nikawakuta wanawake wa kiansari mle ndani wakasema, “uwe juu ya kheri na Baraka na uwe juu ya ndege bora, akanikabidhi kwao wakaniweka vizuri, sikustuka isipokuwa alipofika Mtume (s.a.w) asubuhi mama yangu akanikabidhi kwake, nami siku hiyo nilikuwa ni mschana wa miaka tisa” (BUKHARI, HADITHI NA. 234, Juzuu ya 5)
Sasa kama katika uislamu ufataki ni ruksa yaani mzee wa miaka 54 anaruhusiwa kuoa kitoto cha miaka sita, hivi kuna haja gani ya Mkristo kujiingiza kwenye Ufataki (UISLAMU) na kuanza kuharibu vitoto vya miaka sita? Yaani badala ya kufikiria Elimu kwa mtoto wako, huyo wa miaka sita, unafikiria kumuozesha kwa mzee wa miaka 54, kwa stahili hiyo sisi Wakristo tunaojitambua hatuutaki uslamu.
(5) HATUUTAKI UISLAMU KWA KUWA MUHAMMAD ALIROGWA
Hadithi ya Aisha (r.a) amesema Mtume (s.a.w) alirogwa, mpaka akawa anaona kama anawaingilia wakeze na hali ya kuwa hawaingilii sufiyan mmoja wa wapokezi wa hadhithi hii amesema ndiyo uchawi mbaya mno unapokuwa namna hivi… (Alu-lu-lu wal-marjan, uk 822, hadithi na. 1412)
(6) HAATUUTAKI UISLAMU KWA KUWA QURAN NI KITABU KINACHOTUMIKA KUFANYA UCHAWI
Mchawi huandika moja ya sura katika Quran au baadhi ya za Quran kwa kutumia damu ya hedhi au kutumia uchafu mwingine wowote, kama vile kinyesi cha binadamu, wanyama, kisha mchawi anasoma tarasimu ya kishirikina shetani wa kijini utokea na mchawi humuomba msaada wa jambo analolitaka, na huyo jini hukubaliana nae kwa mashariti watakayo kubaliana.
(7) HATUUTAKI UISLAMU KWA KUWA MUHAMMAD HAJUI KAMA ATAINGIA PEPONI AU MOTONI
Qur’an 46;9 (Surat Al-Ahqaf) Sema; mimi si kiroja (mpya) katika mitume wala sijui nitakavyofanywa, wala mtakavyofanywa ninyi, sifuati yaliyofunuliwa kwangu, sikuwa mie lolote, ila ni muonyaji tu ninayedhihirisha.
Hadithi ya Abu Huraira (r.a) amesema, Mtume wa Allah (s.a.w) amesema, “Hakuna yeyote miongoni mwenu atayeokolewa na amali yake” Wakasema hata wewe mtume wa Allah? Mtume (S.A.W) akasema, “Wala mimi isipokuwa anifunike Allah kwa rehema zake; hivyo fanyeni amali njema kwa uadilifu” (Bukhari Hadithi Na. 470, Juzuu ya
Hadithi ya Aisha kutoka kwa Mtume (s.a.w) amesema, “Fanyeni yaliyo sahihi na yatekelezeni, na furahini kwa kuwa hakuna yeyote atakayeingiziwa peponi kwa amali (matendo) yake” Wakauliza ‘hata wewe mtume wa Allah?’ Mtume (s.a.w) akasema, ‘Hata mimi isipokuwa kama Allah atanifunika kwa rehema zake” (Bukhari Hadihthi Na. 474, Juzuu ya
Sasa kama mtume mwenyewe hajui hatima yake siku ya mwisho kuna haja gani Wakristo tunaojitamua kuufuata UISLAMU? Yaani tumwache Yesu mwenye uhakika na watu wake na kile atakachowapa wanaomfuata
Yohana 10;27-28
27 Kondoo wangu waisikia sauti yangu, nami nawajua, nao wanifuata.
28 Nami nawapa uzima wa milele, wala hawatapotea kamwe, wala hakuna mtu atakayewapokonya katika mkono wangu.
Eti tuufuate Uislamu chini ya kiongozi Muhammad ambaye hajui hatima yake kama ataenda peponi, au ataenda motoni, bila shaka kwa Mkristo anayejitambua hawezi kuwa Muislamu.
(8) HATUUTAKI UISLAMU KWA KWA KUWA MUNGU ANAE ABUDIWA NA WAISLAMU ANAISHIA
JAHANAMU
Hadithi ya Anas Ibni Malik (r.a) kuwa Mtume (s.a.w) amesema jahanamu itaendelea kusema, “Je, kuna nyongeza”? Mpaka Allah atakapoweka humo unyayo wake na hapo utasema, Qat Qat (inatosha inatosha) naapa kwa nguvu zako na zile sehemu zake nyingine zitakaribiana na kuwa pamoja” (Bukhari Hadithi Na. 654, Juzuu ya
(9) HATUUTAKI UISLAMU KWA SABABU UNARUHUSU KUTUMIA UONGO KATIKA KUENEZA DINI.
Kasema Mtume (s.a.w) “Uwongo wote ni dhambi ila kwa kile kinachomfaa muislamu kwa jambo la kheri, unaweza kutumia uongo kupatanisha watu waliokhasimisna au katika jambo litakaloleta kheri na manufaa kwa waislamu” (Mkweli Mwaminifu, juu ya 3-4, Hadithi Na. 855, Uk 57)
(10) HATUUTAKI UISLAMU KWA KUWA HAUFUNDISHI UPENDO BALI NI CHUKI TU KWA WASIOKUWA WAISLAMU.
Qur’an 5;51 (Surat AL-Maidah)
Enyi mlioamini msiwafanye mayahudi na Wakristo kuwa marafiki zenu wao kwa wao ni marafiki. Na miongoni mwenu atakayefanya urafiki huo nao basi huyo atakuwa pamoja nao, Hakika Mwenyezi Mungu hawaongozi watu madhalimu.
Hivyo kwa Mkristo anaejitambua hawezi kukubali kabisa kuufuata uislamu ili awe na roho mbaya ya kinyama isiyokuwa na huruma na watu wasiokua wa imani yake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD "
JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD " Author: Dr. Maxwell Shimba Jesus Declares, “I am the Alap and the Tau” – Under...
TRENDING NOW
-
Baba umenipa funguo muhimu katika Mathayo 16:19 za kufunga na kufungua. Ninatumia funguo hizo kufunga na kufungua, kuvunja na kubamiza kil...
-
Kuna watu wanapitia mateso mengi sana, wengine wamefungwa katika vifungo bila wao kujijuwa basi chukua muongozo huu utakusaidia au itasaid...
-
Adui anakuja kuiba, kuua na kuharibu kila kitu chetu, ni lazima kuwa tayari kupambana na maadui, tujue silaha zetu, na kutumia neno la Mun...
-
Twakusalimu kwa mara ingine katika jina tukufu na takatifu la Yesu Kristo Bwana wetu. Twazidi pia kukushukuru kwa ajili ...
No comments:
Post a Comment